Anita Kajembe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2021
- 215
- 487
Dar es Salaam ni mji wenye mchanganyiko wa makabila, kutokana na shughuli za kibiashara za mji huu na mengineyo. Dar unaweza kupata chakula cha aina yeyote unachokijua duniani.
Kuna migahawa ya Wanigeria, huko konono wa kukaanga ni deli-case.
Kuna migahawa ya watu wa Kusini, huko samaki nchanga aliyenona anaanzia sh 5,000.
Kuna pilau tamu hasa sehemu za Magomeni, bila kusahu urojo Kigamboni.
Ugali wa mhogo na mlenda unapata mjini Dar sijasahau kitimoto na mtori.
Uzuri wa Dar es Salaam, chakula ni nadra kubaki kwenye mgahawa. Una uhakika wa kupata chakula fresh mara nyingi kwenye migahawa.