Sajenti JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 3,651 Reaction score 413 Oct 26, 2010 #21 Safari_ni_Safari said: Jamaa zetu wengi huitamani hii kitu ila wanaogopa lawama Click to expand... ..Mh! na nyie mzidi bana kula hilo limnyama sidhani kama ni ujanja. Ni uchafu tu jidubwana sura kama kiatu..:nono::A S angry::nono:
Safari_ni_Safari said: Jamaa zetu wengi huitamani hii kitu ila wanaogopa lawama Click to expand... ..Mh! na nyie mzidi bana kula hilo limnyama sidhani kama ni ujanja. Ni uchafu tu jidubwana sura kama kiatu..:nono::A S angry::nono:
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,956 Reaction score 5,149 Oct 28, 2010 #22 Sajenti said: ..Mh! na nyie mzidi bana kula hilo limnyama sidhani kama ni ujanja. Ni uchafu tu jidubwana sura kama kiatu..:nono::A S angry::nono: Click to expand... Ustaadh ushamtazama vizuri ngombe alivyo sura yake,kama bado basi nakupa homework ukamtizame ndio uje hapa kumsema mdudu wetu.
Sajenti said: ..Mh! na nyie mzidi bana kula hilo limnyama sidhani kama ni ujanja. Ni uchafu tu jidubwana sura kama kiatu..:nono::A S angry::nono: Click to expand... Ustaadh ushamtazama vizuri ngombe alivyo sura yake,kama bado basi nakupa homework ukamtizame ndio uje hapa kumsema mdudu wetu.
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,120 Oct 28, 2010 #23 Sajenti said: ..Mh! na nyie mzidi bana kula hilo limnyama sidhani kama ni ujanja. Ni uchafu tu jidubwana sura kama kiatu..:nono::A S angry::nono: Click to expand... Tunakula nyama sio sura...au tumle mwenye sura nzuri kama====fulani vile?
Sajenti said: ..Mh! na nyie mzidi bana kula hilo limnyama sidhani kama ni ujanja. Ni uchafu tu jidubwana sura kama kiatu..:nono::A S angry::nono: Click to expand... Tunakula nyama sio sura...au tumle mwenye sura nzuri kama====fulani vile?