Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Sasa anaongoza kwa magoli Man City huku akimuacha Aguero,anawafukuzia Salah na Kane kimya kimya.Watu hawamuongelei huyu kijana lakini huyu jamaa ni hatari kwenye msimu huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Guardiola hajui kununua Wachezaji, anajua kutengeneza wachezaji.sasa anaongoza kwa magoli man city huku akimuacha Aguero,anawafukuzia Salah na Kane kimya kimya.watu hawamuongelei huyu kijana lakini huyu jamaa ni hatari kwenye msimu huu
Guardiola hajui kununua Wachezaji, anajua kutengeneza wachezaji.
Sio Raheem tu, hata Kompany sasahv anacheza one two, hatoi tena mijasho na kupambana hovyo.
Guardiola is a Manager.
Mkuu we ni shabiki wa liver kweli? Yaani hujui hata raheem aliondokaje unasema tunajuta kumuuza? Liver mchezaji ambae walijuta kumuuza ni Robbie Fowlerliverpoll tunajuta kumuuza huyu kijana-yani ile TRIPLE S yetu ya suarez,sterling na sturridge ni sturridge pekee ndio afanyi vizuri
Ya kweli haya?Ila tatzo kamtombea Silva mke wake ndyo maana Silva hachezi
Ila kwa Walker na Jesus kajitahidi kidogo jamaa wanapiga kazi na hata Mendy kabla ya kuumia alikuwa njema.Guardiola hajui kununua Wachezaji, anajua kutengeneza wachezaji.
Sio Raheem tu, hata Kompany sasahv anacheza one two, hatoi tena mijasho na kupambana hovyo.
Guardiola is a Manager.
Aiseee.Sure mkuu mke wa Silva kajifungua mtto black alfu anafanana na Steering ndyo maana
Bado hujanishawishi kwa kauli hiii..eti mtoto black amefanana na starling ...unafikiri ulaya ni Matombo?Sure mkuu mke wa Silva kajifungua mtto black alfu anafanana na Steering ndyo maana
Duh mkuu uko ulipofika mbali sasaYa kweli haya?
Mkuu we ni shabiki wa liver kweli? Yaani hujui hata raheem aliondokaje unasema tunajuta kumuuza? Liver mchezaji ambae walijuta kumuuza ni Robbie Fowler
Yaah, Man City sasahv wanacheza mpira na sio kukamia ushindi tu.Ila kwa Walker na Jesus kajitahidi kidogo jamaa wanapiga kazi na hata Mendy kabla ya kuumia alikuwa njema.
Lini?Ila tatzo kamtombea Silva mke wake ndyo maana Silva hachezi
Fenando Torres ilikuajeMkuu we ni shabiki wa liver kweli? Yaani hujui hata raheem aliondokaje unasema tunajuta kumuuza? Liver mchezaji ambae walijuta kumuuza ni Robbie Fowler
Duhhhhhhhh si ungepunguza ukali wa maneno.Ila tatzo kamtombea Silva mke wake ndyo maana Silva hachezi
kuweka tafsida ni unafiki wa hali ya juuDuhhhhhhhh si ungepunguza ukali wa maneno.