Rahma Kisuo: Vijana mkimaliza masomo msisubiri kuajiriwa, Jiajirini

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Vijana mmesikia ushauri kutoka kwa mbunge?
==========
Akizungumza katika kipindi cha One on One kinachorushwa na Wasafi TV, Mbunge wa Viti Maalum, Rahma Kisuo, amewataka vijana wanapomaliza masomo yao ya chuo kutosubiri ajira, bali waanze kujiajiri huku wakitafuta fursa nyingine za ajira.

Soma Pia: Rahma Kisuo: Mkiongeza Kodi kwenye 'Betting' tutaua ajira

Your browser is not able to display this video.
 
Reactions: Lax
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…