RAI: Majina ya viungo na vyakula kwa kingereza na kiswahili


Mkuu MziziMkavu nimepata moja tu manemane=myrrh (commiphora abyssinica). Zingine holaa..... Nimeshindwa. Nakupa mji, nenda Makka ukahiji ukirudi uje na majibu.
 
Last edited by a moderator:

Nimeipenda hii? Mzizi mkavu upo juu kama homa ya dengue
 
Last edited by a moderator:
farkhina, naomba kujua viungo hivi kwa kiswahili vinaitwaje
cauliflower, currypowder, broccoli. Kuna mapishi nimeyaona humu viungo hivyo vimehusika

Uzile kuna watu hawauelewi wanaita bizari ya pilau ndo mana mie natumia sana neno bizar ya pilau tena nakumbuka wewe ndio ulionifunza
 
Last edited by a moderator:
Kungumanga siyo pomegranate
kungu Manga ni mbegu moja kubwa kubwa kiasi,
pomegranate ni tunda moja lenye mbegu nyingi nyingi(kokomanga)
Hivi ni Kokomanga au "Komamanga"?
 
Hivi kungu manga ndo huitwa pia koma manga? Manake hiyo pomegranate najua ni koma manga. Tujuzane tafadhali
Kungu manga ni nutmeg.huwa ina kokwa
Moja tu ndani kubwa kidogo.
Komamanga ni tunda..yanapatikana hata kwenye bustani za nyumbani..mti wake ni mteke kama miti ya maua..hili lina mbegu nyingi ndogo ndogo ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…