Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,153
- 3,800
Joto linalotishia mazingira ya asili ya Mlima Kilimanjaro ni questionable! Ongezeko la joto hadi 40+ kwa siku za karibuni ni kiashiria cha mpasuko mkubwa wa Ozone layer kwa anga linaloambatana na eneo hilo. Kwa uelewa wangu mdogo wa kinachoitwa"global warming" na effects zake siyo regional centred.
Nikiwa na maana effects zake hazina justification ni kwa nini Kilimanjaro zaidi na siyo pengine.
Kuna tetesi ziliwahi kutolewa na Wananchi siku za nyuma kuwa Kilimo cha maua kinahitaji sehemu baridi na isiyonyesha mvua. Sina uhakika na hilo,lakini jambo likitetwa ni vizuri kuchukua hatua.
Pia tujue Hayati Dr. Magufuli aliwahi kusema tuko kwenye vita ya kiuchumi. Haiyumkini, Mlima Kilimanjaro na ujio wa watalii kwa wingi unazivuruga nchi baadhi,kuwa usingekiwepo,mapato yangekuja kwetu.
Naomba tusipuuze hili.