Rai; Tupanue wigo wa Mapishi

Da #georgeousmimi SHIKAMOOOOOOOOO...yani hapa mate yanantokaaa....wewe na #farkhina nimewavulia kofia. Asante kwa hii kitu ntaiprint niiweke kwenye kale kaubao kangu kajikoni kuongeza idadi ya mapishi! Mniandalie upishi wa ZANZIBAR UROJO jamani kwa anaejua. Naupenda ila siwezi kuupika
 
Nadhani farkhina alishawahi kuweka receipe ya urojo,ngoja aje!
 
Last edited by a moderator:

Wajua urojo upishi wake mkusanyiko wa vitu kama vinne ambavyo recipe apa nimewahi kuweka...

Subiri nizikusanye then ntakuita en shaaAllah

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hizi recipies ni kwa watu wenye maisha bora tu. Kwa watanzania wengi hawaziwezi.

Please muweke na recipies za kawaida humu
 
Hizi recipies ni kwa watu wenye maisha bora tu. Kwa watanzania wengi hawaziwezi.

Please muweke na recipies za kawaida humu

Sawa my dear

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Wajua urojo upishi wake mkusanyiko wa vitu kama vinne ambavyo recipe apa nimewahi kuweka...

Subiri nizikusanye then ntakuita en shaaAllah

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Asante habibty...cant wait!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…