Rai ya Rais Samia Kwa Wachezaji wa Soka Wa Kike Tanzania

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wachezaji Wanawake Wanatufurahisha wanavyoleta makombe ila wakiwa hawana afya ya kucheza watakuwa na maisha gani?,

Tujiulize tumewaandalia nini?, wengi hawana ndoa na kwa walivyo ndoa kwao ndoto.

Ukimchukua kumpeleka nyumbani Mama atauliza huyu Mwanamke au Mwanaume?” ..... Rais Samia Suluhu Hassan.

 
Hii ilikuwa rai ya Rais kwa viongozi wa soka nchini. Kuandaa mazingira mazuri ya wachezaji wetu kustaafu hasahasa wachezaji wa kike. Aliumia wachezaji wanapostaafu na kugeuka ombaomba.

Kama taifa imefika wkt tuachane na interview za wachezaji wa zamani wakiomba msaada ilhali tunasema enzi zao waliupiga mwingi.
 
atakuwa anazungumzia wachezaji wa upotolo, ni utani ila adui wa mwanamke ni mwanamke rais anapaswa kuwa makini anapoongea asiongee kama yuko saloon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…