Binafsi nadhani CHADEMA wajiandae kwa uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Kinachotakiwa ni wao kubadilika na kufanya kazi kubwa ya kubadilisha mindset za Watanzania.
Kuendelea kulalamika kwamba tunaibiwa kura wakati hakuna hatua tunazochukua haijakaa vizuri hata kidogo.
Mimi naamini, kama tungewachukulia hatua kali walioshiriki kuiba au kuhujumu zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 hata 300 Nchi nzima, uchaguzi Mkuu wa mwaka huu ungefanyika vizuri kwa asilimia kubwa.
Watu wangeogopa kwamba, ukihujumu uchaguzi na wewe unapata Kinywaji baridi kiasi kwamba hautakuja kusahau kamwe maisha yako yote.
Kwa mfano uchaguzi wa serikali za mitaa uliopita unakuta wasimamizi wote wa uchaguzi ni wale tunaoishi nao mitaani siku zote lakini wanafanya hujuma za za Uchaguzi na sisi hatuchukui hatua zozote, tunabaki kulalamika tu. Huu ni ujinga.
Ebu nijaribu kuwatungia Sheria za Uchaguzi mkuu mwaka huu 2025.
1. Yeyote atakayezuia mgombea wa upinzani kuchukua au kurudisha fomu ya kugombea, huyo ni kibaka kama kibaka mwingine yeyote yule. Atatakiwa kushughulikiwa immediately tena silently.
2. Yeyote atakayethubutu kuhujumu zoezi la kampeni za Uchaguzi kwa chama cha upinzani, huyo atatakiwa kushughulikiwa immediately.
3. Yeyote atakayethubutu kufanya udanganyifu wa uchaguzi au kutotangaza matokeo halali ya uchaguzi katika Kituo, Kata na Jimbo, huyo atashughulikiwa immediately.
Ikifanyika hivyo mara moja tu, chaguzi zingine zote zitafanyika vizuri kabisa hata kwa Katiba hii hii tuliyo nayo.
Nawasihi tena ndugu zangu CHADEMA, jiandaeni kwa uchaguzi lakini jivueni utu wa zamani na kuuvaa utu upya. Acha kulia lia, chukua hatua madhubuti za kuwashikisha adabu vibaka.