Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,555
- 4,758
Ki ukweli sijaelewaHawa viongozi wa dini wanafurahia hii hali ya watu kuwa ktk "vita isiyotumia silaha". Kwamba kuna utulivu wa nje lkn siyo wa kiakili na kisaikolojia miongoni mwa waumini wao.
Utulivu huu una faida sana kwa hawa viongozi wa dini, kwasabb kila jumapili wao hupata sadaka. Hata hawajali umeupataje hiyo sadaka
Mkuu taratibu usikufuruHawa viongozi wa dini wanafurahia hii hali ya watu kuwa ktk "vita isiyotumia silaha". Kwamba kuna utulivu wa nje lkn siyo wa kiakili na kisaikolojia miongoni mwa waumini wao.
Utulivu huu una faida sana kwa hawa viongozi wa dini, kwasabb kila jumapili wao hupata sadaka. Hata hawajali umeipata kwa shida kiasi gani hiyo sadaka
Maendeleo yana vyamaKwa taarifa yako kila kitu kimeshawekwa mfukoni kuanzia mihimili hadi viongozi wa dini!
Tikiwaacha tutamkimbillia nani? Umeshatafakari?Tuwaache Viongozi wa dini