Raia Afrika Kusini Wana Haki kuchukia wageni

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
Weusi wamepigania Uhuru wao dhidi ya ubaguzi wa rangi (apartheid) mpaka mwanzoni mwa Miaka ya 1990s wanapata Uhuru.

Baada ya hapo, wanatokea weusi wenzao toka Zimbabwe, Malawi, Nigeria, Cameroon, Tanzania, Congo na Ethiopia kwenda kugongea fursa hizo hizo Ikiwemo - saloon, maduka (madogo madogo), udereva Uber na Mama ntilie.

Ni Haki Yao kufukuza illegal/undocumented immigrants ili fursa hizo ndogo ndogo wafanye wenyeji.

PIA SOMA
- Nafikiria kuifungulia mashtaka Serikali ya African Kusini kwa mauaji na ubaguzi wa rangi uliokithiri kwa wageni
 
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…