Raia katika Miji mitatu nchini Uganda waandamana kupinga Ongezeko la gharama za Maisha

Raia katika Miji mitatu nchini Uganda waandamana kupinga Ongezeko la gharama za Maisha

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Polisi nchini Uganda wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya raia walioandamana katika Miji Mitatu kupinga kupanda kwa bei ya mafuta na vyakula muhimu huku wakiwashikilia watu kadhaa.

Maandamano hayo ni ya pili katika mwezi mmoja ambapo waandamanaji wamejitokeza barabarani katika Miji ya Jinja, Kamuli na Luuka kuonesha hasira zao juu ya kupanda kwa gharama ya maisha nchini humo.

Hata hivyo Rais Yoweri Museveni amesema kupunguzwa kwa kodi au kutoa ruzuku ili kujaribu kudhibiti mfumuko wa bei kungefanya hali kuwa mbaya zaidi kwa kuwapa watu "faraja ya bandia"

................................................................

Police in Uganda fired tear gas to break up protests in three towns on Monday over the soaring price of fuel and basic foodstuffs, with several people arrested, police and witnesses said.

It was the second time in a month that demonstrators have taken to the streets to voice their anger over the rising cost of living in a country whose economy has been hit hard by the Covid-19 pandemic and more recently the war in Ukraine.

In Jinja, an industrial city lying on the shores of Lake Victoria in southeastern Uganda, demonstrators set fire to tyres and blocked roads before police dispersed them with tear gas, witnesses said.

Similar scenes played out in the towns of Kamuli and Luuka to the north of Jinja, they said.

Ugandan police spokesman Fred Enanga told reporters in the capital Kampala that the protests were quickly subdued.

Several people have been arrested and will face the "full force of the law", he said, without giving further details.
He claimed the demonstrators "want to use fear to promote violence, and it will lead to a vicious cycle of violence across the country if not stopped".

Fruit seller Moses Lukwanga, 59, told AFP that the protesters in Jinja burnt tyres and set up barricades to stop the deployment of police.

"The protesters forced people to close business and by the time police came to disperse them with tear gas, the whole street was deserted."

Richard Mukose, a 35-year-old taxi driver from Kamuli, said a section of road linking the town to Jinja had been made impassable by protesters before police fired volleys of tear gas and cleared the area.

In Kampala, traffic and business continued as normal, but there was a heavy deployment of police backed by the military.

For a week, messages have been splashed on social media calling on Ugandans to stay home and stop paying taxes in a bid to compel the government to take action over the rising prices.

But President Yoweri Museveni has said that cutting taxes or creating subsidies to try to resolve the crisis would only make the situation worse by giving people "artificial comfort".

Source: CitizenDigital
 
1-Hii vita ni kipimo tosha Africa hatuna viongozi sahihi.

2-Pia haya maandamano yanayoendelea ni sababu wanayotumia wananchi kuonyesha hawakubali uongozi uliopo, hii sio issue ya maisha kuwa juu pekee.

Hata hapa kwetu huyu ajuza najua 88% hawamuelewi. Gharama zilianza kuwa juu sana before hii vita, hivyo hatuna mtu ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom