Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Wananchi mbalimbali wakitoa maoni na hoja zao wakati wa zoezi la ushirikishwaji wa umma kuhusu hoja ya kumwondoa madarakani Naibu Rais, Rigathi Gachagua leo Oktoba 4, 2024
Aidha, Rigathi Gachagua atapaswa kujitetea Bungeni kwa muda wa Saa 2 ifikapo Oktoba 8, 2024 kwa tuhuma nzito za ufisadi, matumizi mabaya ya ofisi, kufadhili fujo za Gen Z katika #Maandamano, kutoa siri za Serikali na Kuchochea Ukabila