Raia Kenya: Nasema kufa dereva, kufa makanga na hashtag inapaswa kuwa #fagiawote

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Your browser is not able to display this video.


Wananchi mbalimbali wakitoa maoni na hoja zao wakati wa zoezi la ushirikishwaji wa umma kuhusu hoja ya kumwondoa madarakani Naibu Rais, Rigathi Gachagua leo Oktoba 4, 2024

Your browser is not able to display this video.


Aidha, Rigathi Gachagua atapaswa kujitetea Bungeni kwa muda wa Saa 2 ifikapo Oktoba 8, 2024 kwa tuhuma nzito za ufisadi, matumizi mabaya ya ofisi, kufadhili fujo za Gen Z katika #Maandamano, kutoa siri za Serikali na Kuchochea Ukabila

Your browser is not able to display this video.
 
Kuna Mkenya mmoja kasema katika idhaa ya Kiswahili ya DW kuwa, kiatu kimoja kikikubana, unavirudisha vyote viwili, hurudishi kimoja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
kete ya kumuondoa naibu rais naona inakwenda vibaya sana kwa ruto, nadhani inabidi aiache vinginevyo naona machafuko yanaweza kutokea tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…