Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Kwakweli kaaibika kwenye tv familia yake inamuangalia tu home aache kiherehere kushobokea yasiyomuhusu
 
Polisi ni hamnazo kabisa. Sasa sehemu kama ile bunduki ina kazi gani? Pale mlimani city miaka iliyopita kwenye bank ya crdb kama sio nmb kabla haijamishiwa ndani ndani mule. Unakuta polisi yuko na smg ndani ya bank unabaki kujiuliza kama ile ni akili ya watu wazima au ujinga tu.

Kurusha risasi kulenga shabaha kunahitaji utulivu, sasa unajiuliza hivi kwenye hadhira kubwa kama ile ikitokea la kutokea si hatari kwa wote waliohudhuria. Sehemu kama hizo kirungu kinatosha kabisa. Inaonekana polisi kuna ulimbukeni sana.
 
Muache kiherehere kwenye mambo ya watu...watu wana jambo lao wee unajipendekeza hapo unaishia kuumizwa na kuchekwa ujinga!
 
Nchi yetu ilikuwa inaitwa kisiwa cha Amani kabla ya mwl J.K. Nyerere hajatuacha yatima.

Tazameni huyu mlinzi alivyo mshambulia kwa ngumi iliyoshiba na binafsi najiuliza sipati jibu.

Je, inatoa taswira gani kwa mataifa tunayoyaita yasiyo na Amani?

Your browser is not able to display this video.
 
Moja ya iv za mwisho
 
Kwamba ni watu masikini ndio wanaogusa majeneza?
Umeandika kuwa ni Imani za kimasikini, hebu ona hao...

Aisee. ona, acheni kuzodoa

 
Kwa uchambuzi wangu. Muombolezaji alikuwa kakaa ila alivyoona msafara unakuja akaona ainuke tena huku ananyanyua mikono kusikitika na ndipo akapigwa ngumi, nadhani mlinzi alikosea.
 
Ndy ashavuta na harudi tena
Ndiyo ashaondokaaa hiyooooo


Ova
 
Next time waache kwenda kwenye hiyo misafara wawachie wenyewe wapite

Ova
Kama ni Mwanga au mlevi au unachanganya vyote viwili kaa mbali na jeneza la Lowasa

Hiyo Escort wamekamilika hayo maeneo yote wako fit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…