Raia Mwema: Aliowatema Hayati Magufuli warejeshwa tena

Raia Mwema: Aliowatema Hayati Magufuli warejeshwa tena

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
7,503
Reaction score
13,463
1. Prof. Mbarawa
2. Sophia Mjema
3. Amos Makala
4. Mchechu
4. January Makamba
5. Mramba
6. Lawrence Mafulu
7. Ashatu Kijaji
8. Iren Issaka
9. David Kafulila
10. Alphayo Kidata

20211124_100640.jpg
 
Sophia Mjema na Kafulila hawakutemwa, walijitema wenyewe, walishaambiwa ukienda kugombea ubunge nafasi yako anapewa mtu mwingine, wao wakaamuwa kubet.

Nampongeza sana marehemu kwa hili japo alikuwa shetani lakini msimamo huu ulikuwa sahihi na ndio ulitusaidia kumpoteza Makonda.
 
Nazidi kuamini..ssh aliishi kinafiki na jpm..ilikua ni suala la muda tu kuonyesha rangi yake halisi..hizi siasa za bongo inabidi uwe pungua ndio uziishi.

#MaendeleoHayanaChama
Cha ajabu kitu gani, kwani uliona list aliyopanga michael carrick jana? Wale ambao ole gunner alikuwa hawapangi ndio wamepewa nafasi na wamecheza vizuri, that is life

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Sophia Mjema na Kafulila hawakutemwa, walijitema wenyewe, walishaambiwa ukienda kugombea ubunge nafasi yako anapewa mtu mwingine, wao wakaamuwa kubet.

Nampongeza sana marehemu kwa hili japo alikuwa shetani lakini msimamo huu ulikuwa sahihi na ndio ulitusaidia kumpoteza Makonda.
CCM ni ile ile
 
Hapo KWA mhandisi Mramba maza kafanya jambo la maana Sana. Yani Jiwe alikuwa katili. Alimtimbua akiiwa anakula krismas na familia yake moshi KWA aibu
 
Back
Top Bottom