Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Sikutegemea huyu Rais wetu kuwa karibu saaaanaaa na yule Mange Kimambi!Nazidi kuamini..ssh aliishi kinafiki na jpm..ilikua ni suala la muda tu kuonyesha rangi yake halisi..hizi siasa za bongo inabidi uwe pungua ndio uziishi.
#MaendeleoHayanaChama
Una ushahidi?Wamekuwa wakigawa rushwa kwa Wapinzani ili waunge mkono juhudi za Marehemu.
Wamekuwa washauri wakubwa wa kufanya Uchafuzi mkuu.
Kwani hawakufaa kurudishwa? Na yeye je angekuwepo asingewarudisha? Mbona alimtema Simbachawene na Mwigulu akawarudisha!1. Prof. Mbarawa
2. Sophia Mjema
3. Amos Makala
4. Mchechu
4. January Makamba
5. Mramba
6. Lawrence Mafulu
7. Ashatu Kijaji
8. Iren Issaka
9. David Kafulila
10. Alphayo Kidata
View attachment 2021628
Ni muda tu makonda atarudishwa.Sophia Mjema na Kafulila hawakutemwa, walijitema wenyewe, walishaambiwa ukienda kugombea ubunge nafasi yako anapewa mtu mwingine, wao wakaamuwa kubet.
Nampongeza sana marehemu kwa hili japo alikuwa shetani lakini msimamo huu ulikuwa sahihi na ndio ulitusaidia kumpoteza Makonda.
Kila Dayosisi ina katiba yake. Mkuu wa Kanisa hana mamlaka yoyote kuingilia mambo ya Dayosisi nyingine.Hii katiba ya KKKT iko vipi?!
Sasa ikiwa hata Mkuu wa Kanisa hana mamlaka kwenye hizo dayosisi kazi kubwa hasa ni ipi?
Hili Kanisa letu hii migogoro ya kimaslahi inatutia aibu sana!
Ndio hivyo tena kila masika na mbu wake.1. Prof. Mbarawa
2. Sophia Mjema
3. Amos Makala
4. Mchechu
4. January Makamba
5. Mramba
6. Lawrence Mafulu
7. Ashatu Kijaji
8. Iren Issaka
9. David Kafulila
10. Alphayo Kidata
View attachment 2021628
Unaota mchana, Passport yake ipo kwenye mikono ya Takukuru, muda wowote anaungana na jambazi mwenzake Ole Sabaya.Ni muda tu makonda atarudishwa.
Maana ya mkuu ni nini?Kila Dayosisi ina katiba yake. Mkuu wa Kanisa hana mamlaka yoyote kuingilia mambo ya Dayosisi nyingine.
Kwakweli, unapomkataa shetani ni pamoja na kazi zake zote.Kazi zote za shetani ni batili,Jiwe hastahili kupongezwa kwa lolote lile.
Mimi sina ila kuna Watu wanao ushahidi.Una ushahidi?
Wabadilishe katiba kwanza itakayompa mamlaka juu ya Dayosisi zingine, otherwise anachokifanya sasa hivi ni NULL AND VOID.Maana ya mkuu ni nini?
Sasa Uaskofu mkuu wake ni juu ya nini? Ni mkuu wa kitu gani?Wabadilishe katiba kwanza itakayompa mamlaka juu ya Dayosisi zingine, otherwise anachokifanya sasa hivi ni NULL AND VOID.
Nasikia wako kwenye harakati za kubadilisha katiba ya KKKT ili kuiweka hiyo provision itakayompa mamlaka Mkuu wa KKKT. Lakini as of now aachane na mambo ya Konde, amwachie Askofu husika aumalize huo mgogoro kwa kutumia organs zake kama alivyowaachia wa Dayosisi za Ziwa Tanganyika, Mufindi, Kaskazini Mashariki, Karagwe kipindi kule n.k
Huko ndiko kutemwa kwenyewe!Sophia Mjema na Kafulila hawakutemwa, walijitema wenyewe, walishaambiwa ukienda kugombea ubunge nafasi yako anapewa mtu mwingine, wao wakaamuwa kubet.
Nampongeza sana marehemu kwa hili japo alikuwa shetani lakini msimamo huu ulikuwa sahihi na ndio ulitusaidia kumpoteza Makonda.
Kwani Maghu alikuwa Mungu!!yeye mwenyewe alikuwa mwizi,muongo,tribalist,alikuwa anaandaa "sukumanization of public Servants""alijaza misukuma kibaooo1. Prof. Mbarawa
2. Sophia Mjema
3. Amos Makala
4. Mchechu
4. January Makamba
5. Mramba
6. Lawrence Mafulu
7. Ashatu Kijaji
8. Iren Issaka
9. David Kafulila
10. Alphayo Kidata
View attachment 2021628
Shida mnataka Samia amuige magufuli, wakati yeye ndio mwenye mamlaka na anateua awapendao kama ilivokuwa kwa JPMNazidi kuamini..ssh aliishi kinafiki na jpm..ilikua ni suala la muda tu kuonyesha rangi yake halisi..hizi siasa za bongo inabidi uwe pungua ndio uziishi.
#MaendeleoHayanaChama
Ooh yes, I concur with you 100%!!Sasa Uaskofu mkuu wake ni juu ya nini? Ni mkuu wa kitu gani?
Haya ni madhara ya copy and paste bila kuedit.
Kanisa katoliki halina Askofu mkuu wa Tanzania, kila Askofu ni mkuu kwenye jimbo lake na ana mamlaka kamili.
KKKT waondowe Askofu mkuu wa nchi nzima wabaki maaskofu wa majimbo wenye mamlaka kamili kwenye majimbo yao.
Dhambi ya Uprotestant inawatafuna.
Kwani sawa na wewe?Kwa nini? Kwani Magufuli Mungu?
Awapeleke mahakamani kwa lipi?Bila kuwapeleka Mahakamani akina Polepole na Bashiru Mama atakuwa anatwanga maji tu.