mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Nchi ya wapigaji kwa nini wasirudishwe?1. Prof. Mbarawa
2. Sophia Mjema
3. Amos Makala
4. Mchechu
4. January Makamba
5. Mramba
6. Lawrence Mafulu
7. Ashatu Kijaji
8. Iren Issaka
9. David Kafulila
10. Alphayo Kidata
View attachment 2021628
ukweli mtupu...... ila na yeye yatamrudia Karma sio kitu cha kuchezea,mambo yatamgeuka soon or later time will tell....Nazidi kuamini..ssh aliishi kinafiki na jpm..ilikua ni suala la muda tu kuonyesha rangi yake halisi..hizi siasa za bongo inabidi uwe pungua ndio uziishi.
#MaendeleoHayanaChama
Hapo KWA mhandisi Mramba maza kafanya jambo la maana Sana. Yani Jiwe alikuwa katili. Alimtimbua akiiwa anakula krismas na familia yake moshi KWA aibu
Alikuwa akimtumia hawara ya Jiwe AK sms za mapenzi...mimi niko curious na Alphayo Kidata.
..alikuwa balozi Canada halafu akarudishwa nchini na kuvuliwa hadhi ya ubalozi.
..baada ya hapo alipewa demotion na kupelekwa kutumikia mikoani.
..sasa hivi ameteuliwa kuwa Kamishna Mkuu wa TRA.
..najiuliza alipokuwa balozi Canada alifanya kosa gani?
who is AK?Alikuwa akimtumia hawara ya Jiwe AK sms za mapenzi.
Wote hao ni watanzania na pengine ni wachapakazi. Lakini binadamu anayo sifa ya kumharibia binadamu mwenzake siku zote.1. Prof. Mbarawa
2. Sophia Mjema
3. Amos Makala
4. Mchechu
4. January Makamba
5. Mramba
6. Lawrence Mafulu
7. Ashatu Kijaji
8. Iren Issaka
9. David Kafulila
10. Alphayo Kidata
View attachment 2021628
Chansela wa ujerumani fest name.who is AK?