Raia Mwema kuchapisha kila siku

Raia Mwema kuchapisha kila siku

Ashasembeko

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
225
Reaction score
910
Gazeti la Raia Mwema sasa litaanza kutoa nakala za kila siku badala ya nakala moja kwa wiki ilizokiwa inatoa.

Hii ni habari njema kwa wapenda habari za ukweli na uhakikana habari mbaya kwa magazeti yaliyozoea kuimba mapambio.

Raia Mwema linasifika kwa kuchapisha habari nyeti za kifisadi. Toleo la gazeti hilo leo limechapisha ufisadi uliofanywa bandari (angalia picha chini.

Nimeshindwa pata nakala yangu kwasababu mtaani zilikuwa zimeisha, kama kuna member humu aliweza numua naomba anipigie picha hiyo stori. Asante
20210505_210413.jpg


Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Nzuri hiyo
Rai yangu wasijisahau mama ni makini haijawahi tokea
 
Nzuri hiyo
Rai yangu wasijisahau mama ni makini haijawahi tokea
Kuanza kwa magazeti yenye kufanya kazi kwa weledi kunayafanya magazeti ya ndiyo ndiyo kufa kibudu .
 
Back
Top Bottom