Baadhi ya Raia nchini Burkina Faso wameanzisha utaratibu wa kutumia muda wa usiku katika barabara na maeneo muhimu ya mji mkuu wa Ouagadougou badala ya kulala majumbani mwao ili kumlinda Rais Kapteni Ibrahim Traore dhidi ya jaribio lolote la mapinduzi.
Raia hao walioanzisha kikundi kinachoitwa Les Wayiyans, kwa miaka miwili tangu 2022 Rais Ibrahim Traore alipoingia madarakani kwa njia ya mapinduzi,wamekacha vitanda vyao na kujitolea kuwa sehemu ya ulinzi wa Rais.
Inapofika nyakati za usiku, raia hao hukutana pamoja kisha kugawanyika katika vikundi mbalimbali vinavyoenda kulinda maeneo mbalimbali mfano barabara ya kuelekea ikulu, redio ya taifa, uwanja wa ndege n.k.
Wanapokuwa katika maeneo hayo, huwasiliana kwa njia mbalimbali kama vile Whatsapp na pale kikundi chochote kinapohisi hatari yoyote hutoa taarifa kwa vikundi vingine pamoja na kwa maafisa wa usalama wa Burkina Faso.
Katika mahojiano, raia hao walisema wameamua kuchukua jukumu la kumlinda Kapteni Ibrahim Traore kwa sababu mbalimbali kama vile kuepuka yaliyomkuta Thomas Sankara yasimkute Ibrahim Traore, kutowaamini wanasiasa, kutoziamini nchi za Magharibi na kuridhishwa na hatua zilizochukuliwa na Rais Ibrahim Traore kurejesha usalama nchini Burkina Faso.
Vilevile Raia hao walisema wataendelea kujitolea kumlinda Rais Ibrahim Traore hadi hapo watakapojiridhisha kuwa hakuna kitisho chochote cha usalama dhidi ya Rais Traore msisitizo ikiwa ni " kabla yeyote mwenye nia mbaya hajamfikia Ibrahim Traore,lazima apite kwao kwanza"

Source: View: https://youtu.be/LeReQS16GzI?si=RH5PC6V6om0wqmJU. View: https://youtu.be/Mvr7QNuDJds?si=CvML6jWY-vi4d2tu
asili ya mtu mweusi ni ujinga , baada ya miaka 5 wakianza pigwa na matatizo wanaanza msingizia marekan na mwarab , we subir , unampenda kiongoz kisa hawapend wazungu na sio kuangalia uwajibikaji wake

Kwani hajawajibika? Wakati anaingia madarakani asilimia 40 ya nchi Ilikuwa chini ya magaidi na jeshi silaha pekee waliyokuwa nayo ni AK 47 za kubangaiza. Sasahivi sehemu kubwa ya nchi imekombolewa ,jeshi limenunua silaha za maana, kuna maeneo shule zilikuwa zimefungwa kwa zaidi ya miaka miwili kwa sababu ya usalama sasahivi zimefunguliwa. N.k Kwangu mimi hiyo pekee ni hatua nzuri anastahili maua yake.
Ni ngumu kwa Jpm kwa sababu maadui wakubwa walikuwa ndani yake alitakiwa kumuua Rostam azizi na familia yake haraka sana na sababu aliipata ya yale mabunduki aliyo kamata ...palepale Rostam azizi angemalizwa na familia hadi leo jpm angekuwa yupo ikulu na wengine kina nape na January na familia zao angemaliza walipo jaribu kumpindua.
Kwani hajawajibika? Wakati anaingia madarakani asilimia 40 ya nchi Ilikuwa chini ya magaidi na jeshi silaha pekee waliyokuwa nayo ni AK 47 za kubangaiza. Sasahivi sehemu kubwa ya nchi imekombolewa ,jeshi limenunua silaha za maana, kuna maeneo shule zilikuwa zimefungwa kwa zaidi ya miaka miwili kwa sababu ya usalama sasahivi zimefunguliwa. N.k Kwangu mimi hiyo pekee ni hatua nzuri anastahili maua yake.
kafuatilie vzr, , usidhan kila mtu mkurupukaj , Anabadili mzungu kwa mikataba mibovu ile ile , hz media za africa hazina fund ya kufanya documentary zenye research iliyoshiba wanasubir tbc ya burkinafaso itangaze , kiuhalisia hali ya burkinafaso ni mbaya sana , MUDA UTAYAFUNGUA YOTE

Haya tutajie vyanzo vya habari vya kuaminika kutoka Burkina Faso Ili tufuatilie vizuri. Au wewe unaishi Burkina Faso unajua yanayoendelea huko?.Isijekuwa unasikiliza habari BBC, DW,VOA halafu unaziamini