Pre GE2025 Raia wa Instagram wamjia juu Steve Nyerere kisa sakata la utekaji nchini

Pre GE2025 Raia wa Instagram wamjia juu Steve Nyerere kisa sakata la utekaji nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Akiwa anaongea siku ya jana kwenye tukio la Faraja Ya Tasnia Steve Nyerere alinukuliwa akisema:

Wote hapa mnajua mnatambua, taifa la Tanzania katika Afrika ndio taifa lenye uhakika wa amani katika mataifa mengine yote.

Kauli ya Steve Nyerere inakuja muda mchache tangu kada wa Chadema, Ally Kibao kutekwa na kuuliwa huko Ununio Dar Es Salaam.

Watu wengi walionekana kutopendezwa na kauli hii hasa katika kipindi hiki ambacho kuna vuguvugu la utekaji:

photo_5978616690059100846_y.jpg



photo_5978616690059100845_x.jpg



photo_5978616690059100844_x.jpg


photo_5978616690059100843_x.jpg

Soma pia: Serikali yazomewa msibani baada ya kutaka waombelezaji waachie vyombo vya dola mauaji ya Ally Kibao

 
Back
Top Bottom