Mindyou JF-Expert Member Joined Sep 2, 2024 Posts 1,869 Reaction score 4,877 Sep 9, 2024 #1 Akiwa anaongea siku ya jana kwenye tukio la Faraja Ya Tasnia Steve Nyerere alinukuliwa akisema: Wote hapa mnajua mnatambua, taifa la Tanzania katika Afrika ndio taifa lenye uhakika wa amani katika mataifa mengine yote. Click to expand... Kauli ya Steve Nyerere inakuja muda mchache tangu kada wa Chadema, Ally Kibao kutekwa na kuuliwa huko Ununio Dar Es Salaam. Watu wengi walionekana kutopendezwa na kauli hii hasa katika kipindi hiki ambacho kuna vuguvugu la utekaji: Soma pia: Serikali yazomewa msibani baada ya kutaka waombelezaji waachie vyombo vya dola mauaji ya Ally Kibao
Akiwa anaongea siku ya jana kwenye tukio la Faraja Ya Tasnia Steve Nyerere alinukuliwa akisema: Wote hapa mnajua mnatambua, taifa la Tanzania katika Afrika ndio taifa lenye uhakika wa amani katika mataifa mengine yote. Click to expand... Kauli ya Steve Nyerere inakuja muda mchache tangu kada wa Chadema, Ally Kibao kutekwa na kuuliwa huko Ununio Dar Es Salaam. Watu wengi walionekana kutopendezwa na kauli hii hasa katika kipindi hiki ambacho kuna vuguvugu la utekaji: Soma pia: Serikali yazomewa msibani baada ya kutaka waombelezaji waachie vyombo vya dola mauaji ya Ally Kibao