Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,509
- 3,756
Mahakama nchini humo imemuhukumu raia wa Kenya, Charles Kinuthia kifungo cha miaka miwili kwa kumkuta na hatia katika kosa la kuwalaghai vijana wa Rwanda kuwa walipe fedha kwa ajili ya kujiandisha kushiriki mkutano wa masula ya utajiri
Hata hivyo, mkutano huo haukufanyika huku maelfu ya vijana wakijitokeza katika mji mkuu wa Rwanda, Kigali ili kuhudhuria mkutano huo katika ukumbi wa mikutano wa Kigali siku ya tarehe 25 Juni
Baadhi ya vijana hao walieleza kuwa walijiandikisha kupitia mtandao na walilipa Dola 5 (Tsh. 11,492) kama ada ya kujiandikisha huku wengine wakieleza kuwa waliahidiwa Dola 197 (Tsh. 452,784) iwapo watahudhuria mkutano huo
Kwa upande mwingine, Wakili wa Kinuthia, Evode Kayitana ameeleza kuwa hukumu hiyo sio sawa kwani mkutano huo ungefanyika kama ilivyokuwa imepangwa kama Polisi isingeingilia na kuzuia kufanyika kutokana na sababu za kiusalama
Amefafanua kuwa Maafisa wa Polisi walizuia mkutano huo kutokana na kuwepo kwa idadi kubwa ya watu kupita ukumbi, ambao hawakuelewa kuwa Dola 197 haikuwa fedha taslimu watakayogaiwa ila inawakilisha thamani ya mafunzo ya siku hiyo
Wafanyakazi watatu wa Kinuthia (Wawili Wakenya na mmoja Mnyarwanda) waliachiwa kwa dhamana na Mahakama hiyo huku yeye akijaribu kuzungumza na Ubalozi wa Kenya ili umsaidie
******
A court in Rwanda has sentenced a Kenyan man to two years in jail for conning young Rwandans into paying a registration fee for a wealth conference that never happened.
Thousands of young people showed up in the capital, Kigali, for the conference, organised by Charles Kinuthia, at the Kigali Convention Centre on 25 June.
Some told the BBC they had paid a $5 (Sh500) online registration fee - and had been promised $197 (Sh20,000) if they attended.
Kinuthia's lawyer, Evode Kayitana, told the BBC that the sentence was unfair as the conference would have gone ahead had the police not intervened because of a security risk.
He said officers stopped the event because the venue became overwhelmed by delegates who had misunderstood that the $197 was not a cash bonus for them to take home but represented the value of the day's training.
Three of Kinuthia's employees - two Kenyan women and a Rwandan man - were acquitted by the court in Kigali.
Kayitana said his client was going to approach the Kenyan government to see if it could intervene in the case.