joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hii hali inaanza kutisha na kuofya. Hivi wakenya mnaitafuta nini Tanzania?
====
Wakazi wa Holili mkoani Kilimanjaro wametoa taarifa kuhusu raia wa Kenya (Mkikuyu) kutelekezwa mpakani Makuyuni, na baada ya kuripotiwa, Mwanamke huyo amechukuliwa na Maafisa
Baadhi ya watu waliotoa taarifa kuhusu uwepo wa Mwanamke huyo wamelaumu Mamlaka zinazohusika na ulinzi wa mipaka huku wakihoji ni vipi mama huyo ameweza kuingia hadi mpakani wakati inadaiwa ulinzi umeimarishwa
Alipohojiwa, mama huyo aliyetokea Jijini Nairobi amesema anaumwa na alipoulizwa hini hasa kinamsumbua alisema anaumwa kifua na mafua
Sent using Jamii Forums mobile app