joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Waulize hao wanaotoroka kwao wakiwa wagonjwa na kuvuka kwa njia za panya, kitu gani wanakifuata Tanzania?Pale ambapo maiti inacheka Mwendo wa kobe; Hakuna uzuri wowote kwa Tanzania kwenye hili gonjwa
Mtafanyaje cooperation wkt kuna nchi kama Burundi yenyewe ni ya vichaa,imetangaza ligi ya mpira wa miguu itaendelea kama kawaida.Afrika mashariki wafanye cooperation prevention measures within EAC. La sivyo tutamtafta mchawi sana.
Bt kwa wenzetu kenya kuweni na akili za kibinadamu