Raia wa Kenya wafungua kesi dhidi ya Boeng baada ya ndugu yao kufariki kwenye ajali ya Ndege ya Ethiopia

Raia wa Kenya wafungua kesi dhidi ya Boeng baada ya ndugu yao kufariki kwenye ajali ya Ndege ya Ethiopia

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Familia hiyo ya raia wa Kenya ilipoteza ndugu katika ajali ya Ndege ya Shirika la Ethiopia iliyotokea Machi 10, 2019 na kuua watu 157

Ndugu wa kijana mwenye umri wa miaka 29 mwenye taaluma ya Uhandisi imefungua kesi Jijini Chicago wakitaka taarifa za ndege

Wametaka Mahakama itoe amri ya wao ya kutolewa kwa Barua Pepe na Nyaraka za ndege toleo la Boeng aina ya Air Max 8 A ambazo moja ilianguaka Ethiopia na nyingine huko Indonesia

Wanaamini taarifa zilizotolewa kuhusu chanzo cha kuanguka kwa ndege hiyo iliyosabanisha vifo vya raia wa Kenya 32 si sahihi

=======

A Kenyan family has filed a lawsuit in Chicago against American aviation giant Boeing over a March 10 Ethiopian Airlines crash that killed 157 people, lawyers and family members said on Tuesday.

Siblings of 29-year-old engineer George Kabau said they wanted to force the company to release documents and emails relating to its 737 MAX 8 model, which was grounded worldwide after two major plane crashed in Ethiopia and Indonesia.

A preliminary report released earlier this month indicated Ethiopian Airlines pilots wrestled with a computer system that repeatedly ordered the nose down because of faulty sensor data. The same system was a focus of the preliminary report into the October Lion Air crash in Indonesia, which killed 189 people.

Dozens of families are already suing Boeing over the Lion Air crash, and three lawsuits have already been lodged over the Ethiopian Airlines crash, by the families of two Americans, including consumer activist Ralph Nader’s great niece, and a Rwandan.

Lion Air’s co-founder on Monday lashed out at Boeing’s handling of the accidents.

Kabua’s sister, Esther Kabau-Wanyoike, choked up as she told a press conference that she wanted to use her brother’s death to improve aviation safety.

“He didn’t leave a child. My mum is devastated,” she said. “We can use his demise to ensure safer travel for all.”

U.S. lawyer Nomi Husain, who is also representing one of the American families, said the lawsuit was filed in Chicago late on Monday. The family was seeking to hold Boeing accountable, he said.

“We want to let the litigation process play out,” he said. “When you put profits over safety, you will be held accountable and you will pay a price.”

Boeing, which has previously declined to comment on individual lawsuits, and directed enquiries about the crash to investigating authorities, had no immediate comment on the latest case.

Kenya had the largest number of citizens on the flight from Addis Ababa to Nairobi. At least 32 Kenyans were on board, the airline said at the time, although that number may be larger because some of the travelers were dual nationals and the full manifest has still not been released.
 
Watapata haki yao ili jambo kama hili lisitokee tena.
 
Kufa kufaana,Usije kuta familia ikalipwa mpunga ambao ukabadili Historia.
 
Waanze na serikali ya Jubilee kushindwa kufuta njaa Kenya miaka nenda miaka rudi!
 
Ni haki ya waliofiwa, ni uchungu mkubwa kwao kupoteza wenzao kwa njia hii. Kuna fununu kwamba boeing tayari wanataka kugawa kwa familia hizi takriban KES 25Million each, kwa kila mmoja wa ndugu zao aliyepoteza maisha yake kwenye ajali hiyo. Out of court settlement, boeing hawana hamu ya kufika mahakamani.
 
Ni haki ya waliofiwa, ni uchungu mkubwa kwao kupoteza wenzao kwa njia hii. Kuna fununu kwamba boeing tayari wanataka kugawa kwa familia hizi takriban KES 25Million each, kwa kila mmoja wa ndugu zao aliyepoteza maisha yake kwenye ajali hiyo. Out of court settlement, boeing hawana hamu ya kufika mahakamani.
Wakora washaona fursa ya pesa ya Boeing.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakora washaona fursa ya pesa ya Boeing.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wamefiwa alafu wewe unawaita wakora? Nina swali kwako. Dadako au kakako akifa kwa njia kama hiyo ya software error kwenye kampuni kubwa kama Boeing utafanya nini? Utaenda kwa mganga? Sidhani kwamba hizi familia(sio wakenya pekee yake) zitakubali Boeing wawahadae na hela nje ya mahakama. Kama hizo fununu ni za kweli. Lengo lao sasa hivi ni Boeing wawajibike, mambo ya fidia mahakama zitatoa maamuzi. Kumbuka kwamba wale wa Lion Air ya Indonesia ambayo iliua watu 189 walishawasilisha kesi yao mahakamani dhidi ya Boeing.
 
At some point I felt Boeing risked so much with their project Boeing 373 Max.. ... Hiyo turbo wangeweka kwa radio
 
Back
Top Bottom