Raia wa Kenya wakamatwa na Dawa za Kulevya Nchini India

Raia wa Kenya wakamatwa na Dawa za Kulevya Nchini India

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Mwanje Faridah (42) na Cilian Awar Nyanzangu wanashikiliwa na mamlaka Jijini Mumbai, baada ya kupatikana na dawa zinazoaminika kuwa za kulevya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chhatrapati Shivaji Maharaj Oktoba 2, 2022

Kulingana na Kitengo cha Ujasusi cha Anga cha India (AIU), Faridah alikutwa na Gramu 980 za kitu chenye rangi nyeupe kinachoaminika kuwa Cocaine na Nyanzangu akiwa na Kilo 5.16 za unga mweupe unaoshukiwa kuwa Heroine

Aidha, Watuhumiwa hao wanatarajia kufunguliwa mashtaka ya uuzaji wa DawaZaKulevya, kosa ambalo linaweza kuwa na kifungo cha hadi miaka 20 gerezani


………


Two Kenyan nationals are currently being detained by authorities in Mumbai, India, after they were found in possession of substances believed to be narcotic in nature.

42-year-old Mwanje Faridah and Cilian Awar Nyanzangu were arrested at Mumbai's Chhatrapati Shivaji Maharaj International Airport on Sunday.

According to India's Air Intelligence Unit (AIU), Faridah was found in possession of 980 grams of a white-coloured substance believed to be cocaine.

Nyanzangu, on the other hand, was found holding 5.16 kg of a white powder suspected to be heroin, according to AIU officials.

Nyanzangu is said to have arrived in Mumbai from Addis Ababa, Ethiopia. Both suspects were arrested separately.

They are set to be arraigned in court where they will be charged with drug trafficking, an offence that can attract a sentence of up to 20 years behind bars in India.

Source: Citizen Digital
 
Back
Top Bottom