Raia wa kigeni watatu wawekwa rumande kwa kufanya kazi nchini bila vibali

Raia wa kigeni watatu wawekwa rumande kwa kufanya kazi nchini bila vibali

Kigogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2007
Posts
20,508
Reaction score
6,183
Katika hali ya kushangaza shirika lisilo la Kiserikali la International Rescue Committee(IRC) limejikuta pagumu sana baada ya Country Director wao Raia wa Urusi Bw Timerlan Pliev na Bi Lucy Proudlock raia wa UK kulala rumande polisi Oysterbay kwa kuwa nchini zaidi ya mwezi na wanafanya kazi bila vibali.

Huku mkuu wa ofisi yao ya Kibondo Bw Pasqualle raia wa Sudan akikimbia nchi usiku na kutorokea Burundi baada ya kupata taarifa kuwa anatafutwa kwa kuwa nchini na kufanya kazi pasipo kuwa na kibali.

Juhudi hizi za waziri wa mambo ya ndani zinapongezwa sana kwa kushirikiana na wizara ya kazi maana suala hili inazemekana limeripotiwa uhamiaji karibia mwezi sasa lakini hawamuwa wanachumua hatua kazi yao ni kwenda kuvuta hela wanatulia

Hivi hii nchi itachezewa mpaka lini? Unaajiri utu kasomea mifugo kuwa Country Director au Field Coordinator kweli? Au nchi hii haina wTu waliosoma mambo hayo?

Yaani hawa mpaka wamewekewa dhamana na mabalozi wa nchi zao. Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka hii..

Watu wanasomea mapishi halafu wanakuja hapa wanajifanya ma expert?!!mxxxx
 
Tunaelewana
Tupo Kwenye Light Track Hakuna Kushindwa
 
Yule mamalishe wavodacom akikamatwa muniite niwape ofa ya bia
 
Kule migodini kuna wanaigeria wana miaka kumi walishajua na kiswahili sijui walishapewa uraia?
 
Waziri hebu nenda na geita na north Mara. Capital drill. Hii kampuni ina wageni mpaka madereva wa mafuta migodini!
 
Hao kuna mtu "wamemkanyaga" mbona wapo wengi wa dizaini hii?
 
Back
Top Bottom