Raia wa Malawi walalamika kufanyiwa unyama Tanzania

Raia wa Malawi walalamika kufanyiwa unyama Tanzania

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
20 May 2022
Dar es Salaam, Tanzania

Kufuatia mfululizo wa vitendo vya kikatili dhidi yao, raia wa Malawi walalamika juu ya baadhi ya waTanzania kuwafanyia ukatili
ukiwemo mfululizo wa mauaji.

Wakielezea kwa uchungu kuwa sasa sifa ya waTanzania inaanza kuchafuliwa na vitendo hivyo vinavyofanywa na waTanzania wachache, hivyo vyombo husika vya dola Tanzania wafanyie kazi na kuwafikisha wahusika mahakamani.

Source: Millard ayo

 
Kwani Watanzania wenyewe hawafanyiwi hayo? Tena hapa hapa kwenye nchi yao?
 
Ni uhalifu tu wa kawaida,ukikabwa na kibaka uchochoroni uwezi kusema watqnzania wamekukaba,hayo ni matukio tu.
 
Back
Top Bottom