Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Uganda wamepeka miili mpakani na Rwanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
M7 hana madui wengi nyumbani kwake hamuezi PKMuseven atammaliza Mr slim
KheeeeeeeeM7 hana madui wengi nyumbani kwake hamuezi PK
Yap wamekutwa wameuwawa, kulingana na taarifa kutoka rwandaWamefariki
Kheeeeeeee
Unamjua lakini M7?
Mr slim akasome pia ana wa Afghanistan kwake ni kitendo Cha sekunde kuwa tumia kummaliza na kusingizia hausiki
Lakini pia wiki 2 zilizopita Kuna raia mmoja wa Uganda alikutwa ameuwawa katika wilaya moja ambayo ipo mpakani mwa Rwanda.
Museven atammaliza Mr slim
Nan kakudanganyaM7 anawaweza wanyonge wenzake kama wakina bob wine tu.Kwa wababe hua hakohoi.
Nan kakudanganya
Mkuu kupigana sio suluhisho, mi kwangu naona m7 Hana imani Tena PK , so Cha muhimu labda raia wa rwanda kujiangalia tuu wanapotaka kwenda Uganda kwenye shughuli yeyote.Hio ni kawaida,kama vipi wapigane tena kama walivyopigana kisangani.
PK alishawaambia raia wake uwezo wa kuwalinda ninao mkiwa hapa Rwanda,mkienda huko Uganda mtakachofanywa huko Ni juu yenu.Mkuu kupigana sio suluhisho, mi kwangu naona m7 Hana imani Tena PK , so Cha muhimu labda raia wa rwanda kujiangalia tuu wanapotaka kwenda Uganda kwenye shughuli yeyote.