wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Kuna tetesi kuwa kuna raia wa urusi alikuwa ametoka bank maeneo ya sinza inasemekana alikuwa abebeba hela (kiasi hakija fahamika ni bei gani) na anafanya kampuni inayoshughulika na aluminium na glass!!na kwa melezo inasemekana alibishana na hao majambazi ndipo akapigwa risasi moja ya mkono bado akawa mbishi na ingine ikapigwa hewani bado kawa mbishi ndipo akapigwa ya kichwa!!!!kama kuna mwenye taarifa hii zaidi utuwekee hapa!!ni tukio la muda huu!!
(Soure!!) Taarifa hii nimeipata kwa mfanyakazi mwenzie!!
(Soure!!) Taarifa hii nimeipata kwa mfanyakazi mwenzie!!