Hah hah hah hah kaka yupo mbio mbio anawahi kwenye tukioHeading umeandika Uturuki huku unaandika Urusi
nimeona video yake imesambaa kidogo anaonekana mturuki sio mrusiKuna tetesi kuwa kuna raia wa urusi alikuwa ametoka bank maeneo ya sinza inasemekana alikuwa abebeba hela (kiasi hakija fahamika ni bei gani) na anafanya kampuni inayoshughulika na aluminium na glass!!na kwa melezo inasemekana alibishana na hao majambazi ndipo akapigwa risasi moja ya mkono bado akawa mbishi na ingine ikapigwa hewani bado kawa mbishi ndipo akapigwa ya kichwa!!!!kama kuna mwenye taarifa hii zaidi utuwekee hapa!!ni tukio la muda huu!!
(Soure!!) Taarifa hii nimeipata kwa mfanyakazi mwenzie!!
kuna video watu wamerekodi wanambeba amevaa helmetnimeona video yake imesambaa kidogo anaonekana mturuki sio mrusi
Mimi nimebaki na maswali kichwani, hayo majibizano kayajuajeInaelekea kama ni kweli umetoa mchongo wewe na sasa majambazi wenzako wamekueleza mchezo mzima ilibyokua, wewe umejuaje kulikia na ubishi
Mleta mada mwendo kasi na mchangiaji mwendo kasi, "hapa kasi tu".Kichwa uturuki, utombo urusi.