Wadau naskia tetesi kua wakulima na wafugaji wa ikwiriri huko rufiji wanachapana. Chanzo sijakijua, mwenye updates atumwagie hapa.
yaaani natamani mapigano yatawanyike na kusambaa nchi nzima
yaaani natamani mapigano yatawanyike na kusambaa nchi nzima
usiombee hayo mambo mdau,,,,unaandika kama unakata GOGO????
Anaandika kama anak...ya!
yaaani natamani mapigano yatawanyike na kusambaa nchi nzima
Msimhukumu, huo ni mtazamo wake, yawezekana anasababu ya msingi kusema hivyo
Utakua hukielewi unacho kitamani. Umefikiria waathirika wa unachokitamani? Kama taifa tunayomatatizo Kama hayo ya wakulima na wafugaji lakini suluhu sio kwa mapambano kuenea nchi nzima. Umenisikitisha.yaaani natamani mapigano yatawanyike na kusambaa nchi nzima