KALYOVATIPI
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,414
- 199
yaaani natamani mapigano yatawanyike na kusambaa nchi nzima
Wadau naskia tetesi kua wakulima na wafugaji wa ikwiriri huko rufiji wanachapana. Chanzo sijakijua, mwenye updates atumwagie hapa.
MKUU NI IKWIRIRI!!! Jamani khaaaaJaman hivi huko IKWILILI kuna nini?