Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamesahau msemo wa Wahenga mwenye nacho huongezewa? Siku zote maji hutiririka kuelekea baharini ambapo tayari yako mengi.Hata mimi nimeiona hii habari DW... Wanalalamika kuwa jamaa tayari ana pesa iweje alipwe tena mpunga mrefu!...
Wakiwaza miaka nenda rudi wapo korokoroni wanapambana na injini.. Alafu anakuja mtu mmoja anakula kiu laini [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata mimi nimeiona hii habari DW... Wanalalamika kuwa jamaa tayari ana pesa iweje alipwe tena mpunga mrefu!...
Watengeneza magari wameicharukia juventus kuelekeza pesa ya mapato ya kiwanda kwa Ronaldo.
Juventus si ingetoa pesa mfukoni mwake, sio sawa. Nikijaribu kuvaa viatu vya wafanyakazi hao. A