PrincessAnne
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 1,875
- 2,224
Uoga wao ndio umaskini wao wagome.wafanyakazi wa azam wanalipwa laki unusu.. ila wachezaji azam mamilioni ia hawagomi.. wapi wafanyakazi wa mohamed enterprises mshahara laki moja.. huku simba wanalipa watu milioni 10 kwa mwezi.. wapi manji na yanga na quality group staff
Hii mifano haiendani na case ya huko juvewafanyakazi wa azam wanalipwa laki unusu.. ila wachezaji azam mamilioni ia hawagomi.. wapi wafanyakazi wa mohamed enterprises mshahara laki moja.. huku simba wanalipa watu milioni 10 kwa mwezi.. wapi manji na yanga na quality group staff
Hata wachezaji watariot tu, hata kama ni kimyakimya. Ronaldo anakwenda kuvuta takribani £73,000 per day...
Hii kitu nahisi itaumiza weng sana endapo wazungu wakiona hii comment yako...Waache kazi tu,wataajiriwa wahamiaji wenye skills
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata na mimi ningemaindi asee!!Wakiwaza miaka nenda rudi wapo korokoroni wanapambana na injini.. Alafu anakuja mtu mmoja anakula kiu laini [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani walivyobagain kuna kifungu kiliwekwa kwamba Juve isimlipe mchezaji hiO hela? Kama hawajaridhika si waache kazi! Wametafakari na bei ya jezi ya CR7?
Kwani wao wakati wanapewa mikataba yao ya kazi Cr7 alikuwepo nguvu yao ya bargain tu hawataki waache kazi kama hawatki ma kiwanda kiwepo kwao fiat wapeleke China
[emoji115] pointsLabda Wamiliki Wameona Wakimnunua Watapata Faida....biashara Matangazo...akili Kumkichwa...
Unajua Ronaldo aliponunuliwa Madrid mashabiki Walipiga Sana Sana Kelele...ila Mwaka Mmoja Baadae Club ilitangaza kuwa Imerudisha hela Mara dufu na Faida Mara dufu....kupitia Matangazo,Hisa,jezi!