Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Macroni ndio rais wa nchi gani?
Mizungu ni mijitu misenge SanaHii itufunze kuwa ni muhimu kufinance vitu vyetu. Bomba la mafuta bado linakumbana na upinzani mkali kwa wanaharakati wenye maslahi yao wenyewe.
Wazee wetu walikatwa mikono kwa kufua chuma, the story continues
View attachment 2225143
Uganda-TangaBomba la Mafuta kutoka wapi..?
Naunga mkono hoja...Inawezekana kikulacho ki-jirani yako au nguoni...
Mkenya kafanya yake huko!Hii itufunze kuwa ni muhimu kufinance vitu vyetu. Bomba la mafuta bado linakumbana na upinzani mkali kwa wanaharakati wenye maslahi yao wenyewe.
Wazee wetu walikatwa mikono kwa kufua chuma, the story continues
View attachment 2225143
Mbuzi yuko Ufaransa hataki Bomba la Mafuta Tanzania, ni ajabu sanaHii itufunze kuwa ni muhimu kufinance vitu vyetu. Bomba la mafuta bado linakumbana na upinzani mkali kwa wanaharakati wenye maslahi yao wenyewe.
Wazee wetu walikatwa mikono kwa kufua chuma, the story continues
View attachment 2225143
Urusi inawazingua. Lazima watuangukie AfricaOn the other side, tumetangazwa kimataifa. Sasa wawekezaji sekta ya mafuta watafurika kibao!!
Wamakaonde hoyeeeeee!!!!
Hawa nyang'au ni kunguni.Mkenya kafanya yake huko!