Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Tazama hapo kwenye video raia wanauliza kwanini umevamia gari yetu polisi hawana majibu, wanaulizwa tumefanya kosa gani hawana majibu, wanaambiwa watoe vitambulisho kuthibitisha kuwa wao ni polisi kweli wanasuasua tu, mwishowe wanaishia kuwaambia unajua mimi na nani.
Ni dhahiri jamaa walikuwa wanatafuta kosa kwa nguvu ili wapate ka upenyo ka kupata hela ya kubrashia viatu, sasa wamekutana na watu wanaojua kusimamia haki zao wameenda nao sambamba vilivyo.
Ni dhahiri jamaa walikuwa wanatafuta kosa kwa nguvu ili wapate ka upenyo ka kupata hela ya kubrashia viatu, sasa wamekutana na watu wanaojua kusimamia haki zao wameenda nao sambamba vilivyo.