Raia wengi wanajua kuhusu Lissu kuchaguliwa Mwenyekiti wa CHADEMA kuliko CCM kuteua mgombea wa Urais

Raia wengi wanajua kuhusu Lissu kuchaguliwa Mwenyekiti wa CHADEMA kuliko CCM kuteua mgombea wa Urais

Aramun

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
461
Reaction score
2,213
Na kwa sasa hiyo 80% ya raia inasubiri kujua ni nani hasa atakuwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA.

Na kufika mwezi wa 7, hiyo 20% ya raia inayojua, huenda ikawa imeshasahau au imeshakosa imani na upande wa wana kijani na kuhamia upande wa pili.

Hii itukumbushe kwamba siku zote ukivunja mila, desturi, taratibu na miiko ya uendeshaji wa taasisi/chama/kikundi flani basi lazima kuwe na negative consequences kubwa.
 
Back
Top Bottom