hello buswelu ulivyofanya partition je hiyo ingine 200 uliifanyia pia na kuiformat ili iweze kutumika ? kama sivyo basi ujue unatakiwa hiyo freespace iwe formated kama haina data lakini inategemea kama hiyo 200 ni hdd nyingine na unatumia brandgani ya computer
lakini all in all raid driver haiwezi kusitisha kuona chochote ndani ya pc yako cd ya xp huwa inakuja na defalt driver za raid sema kama unatumia server ndio inaweza kuwa mengine kutokana na config za hiyo server inabidi uangalia specs za hiyo server katika tovuti yake husika
na kama ulishainstall kila kitu unataka raid controller pia angalia katika tovuti ya hiyo computer kama ni brand kama dell au hp
weekend njema