Raila A. Odinga: Astute Businessman or Corrupt Politician?

platonist

Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
38
Reaction score
6
The sudden ostentatious display of wealth by Raila Odinga has left many baffled. Unbeknown to the public, Raila is a fabulously wealthy man in his own right with a personal fortune estimated to be in excess of Kshs. 4 billion. Read how the man who wants to be Kenya's next president acquired his wealth which includes investments in the lucrative petroleum industry and in manufacturing.

How Raila acquired his billions.

Raila Odinga's big break came in 2001 soon after he led his party, NDP, into a merger with KANU, the then ruling party. As Energy Minister in Moi's government he was introduced to the family of Sheikh Abdukeder AlBakari, one of the richest families in Saudi Arabia with interests in petroleum drilling, petroleum exploration and export in the Middle East, Asia, USA and Africa.

Through the Saudi contacts,Raila was initiated into the lucrative world of oil business and soon enough he had joined the league of gig independent oil importers via his firm Pan African Petroleum Limited.

Industry sources say that one of the things that helped Raila make a quick buck in the oil business was a concessionary petroleum deal he struck with the Al Bakri Group where he was not only incorporated as a silent partner in the local arm of Al Bakri International but was also supplied with petroleum products from Saudi Arabia at subsidized prices which his firm would sell in the market at normal prices. That way,Raila was able to deftly beat the competition in oil business by occasional price undercutting.

While still Energy Minister,Raila re-established and nurtured his links with the Libyan government of Colonel Muammar Gadaffi where again he not only did good business in oil importation but also got substantial material support during the 2002 general elections.

Besides supporting Raila's political causes, the Libyans also played a key role in stabilizing Raila in the oil business in a couple of ways. Industry sources say that between 2001 and 2002 when Raila served as Energy Minister,he received at least three consignments of petroleum products at very low prices which were later sold locally at market prices.

The overall turnover from the three Libyan consignments is reliably said to have been in the region of over half a billion shillings, a tidy sum of money in any language,enough to ensure that one crosses the Rubicon once and for all.

Raila's enviable international links

Reliable sources say that Libyans bankrolled the NARC campaign with some US$ 3 million (about Kshs 210 million), thanks to Raila's good contacts in the oil-rich land of Gadaffi.

Besides Libya, Raila enjoys good links with the South African government of Thabo Mbeki while in Nigeria he is known to have strong links with immediate former president Olosegun Obasanjo,who was a close friend of Raila's late father Jaramogi.

That Libyans, South Africans and Nigerians had enough confidence in Raila to channel campaign funds through him although he himself was not a presidential in 2002 is an indication of how highly regarded he is in some international circles.

Evidently,he could certainly count on even more enthusiastic support from his international contacts should he become the ODM presidential candidate.

For Raila,the linkage between politics and business went much deeper than petroleum business. It is significant that the Odinga family business,Spectre International Ltd,acquired the then state-owned Kisumu Molasses Plant soon after Raila started politically cooperating with Moi.

Raila has consistently argued that the acquisition of the molasses plant was a pure business deal which had nothing to do with politics, but his critics point out at the coincidence between the time his family acquired the parastatal and Raila's shift of political alliance. It is highly unlikely – indeed one may even say impossible – that the Moi government would have sanctioned the Kisumu Molasses Plant deal at the time if Raila had not become an ally of Moi's.

Former commissioner of Lands Sammy Mwaita offered to sell the 240 acres on which the Kisumu Molasses Plant is built to Spectre International on January 11,2001 at a price of Kshs 3.6 million at a time when Odinga started working closely with Moi. By June of the same year, Raila was appointed to the cabinet and made Energy Minister.
Significantly, Spectre International had applied for the same land in a letter of February 18,1999 but the request had been rejected by the government at the time.

Titles were prepared in favour of Spectre International on February 3,2002 for a 99-year lease backdated to September 1,2001 and the Odinga family was ready to laugh all the way to the bank.

When the Odinga family started the process that led to the acquisition of the Kisumu Molasses Plant in 2001,Raila had already established good business contacts in South Africa. Energem Resources Incorporated,an international firm quoted at the Toronto Stock Exchange,had been looking for an investment opportunity in Kenya for a long time and the Kisumu Molasses Plant appeared just right.

Soon after taking over the plant from the government, Raila struck a lucrative deal with Energem whereby the Canadian firm bought 55 per cent of the Kisumu Molasses plant. Sources say that the Odinga family was paid over US$ 5 million (about Kshs 420 million) to relinquish the control of the molasses plant. The Odinga family had paid only Kshs 3.6 million for the property.

The Canadians also ploughed in millions of dollars to rehabilitate the plant and it is today one of the largest manufacturing concerns in the country employing hundreds of people and producing at least 60,000 litres of industrial ethanol for local consumption and export.

Ethanol from the Kisumu Molasses Plant is used as a fuel additive in east and Central Africa. Among other products coming out of the plant include yeast, carbon dioxide alcohol and related industrial products.
A valuation of the plant carried out three three years ago placed the Kisumu Molasses Plant at US$100 million (Kshs 7 billion). With the Odinga family owning 40 percent of the plant,putting the family’s stake in the plant in the region of Kshs 7.8 billion. The remaining five per cent shares in the plant are owned by a development trust on behalf of the local community.

Besides Kenya where Energem is in partnership with Raila in the Kisumu molasses plant business, now renamed Kisumu Ethanol Plant, other African countries where Energem's presence is significant include Sierra Leone, Sao Tome, Congo Brazaville, Angola. Zimbabwe, Democratic Republic of Congo (DRC),Chad and Central Africa republic.

Source here
 
Tuwe wakweli jamani,ni mwanasiasa au kiongozi gani Kenya ambaye si mfanyabiashara au hajatumia nafasi au cheo chake kujinafaisha na kutajirika?

Hii ni kwa wanasiasa /viongozi wote duniani wote hukimbilia siasa si kwa lengo la kuwasaidia watu wao kwanza bali kujisaidia wao kwanza Hebu angalia pia viongozi wa Tanzania,Uganda,Msumbiji South Africa.Hata Kibaki mwenyewe kajinufaisha,angalia hilo hekalu lake la kustaafu huko Aberden,angalia MuDVD na Anglo leasing,Uhuru na kukosea hesabu za budget,Mr Maize (Ruto)kila siku na kesi za ardhi,Mzee Moi,Mzee Kenyata na familia yake....orodha ni ndefu!

Msiwe na ugonjwa wa kumchukia Raila tu sababu si Mkikuyu na sababu baba yake alimpinga Kenyata. Lakini kumbekeni kuwa Mzee Odinga alikataa cheo cha kupewa Uwaziri Mkuu aliposema hakubali mpaka Kenyata atoke kifungoni. Sasa nyie wajukuu acheni kuchukia Raila sababu ni mtoto wa Odinga
 
Ushamaliza mchezo mkuu. Sina la ziada kuongeza hapo.

Shukran.
 
umesahau kutaja Raila katika kashfa la KKV (kazi kwa vijana). If it were not for his corrupt ways, kibera the largest slum in the world which is in his constituency would by now have had a facelift.

one cannot call themselves reformers yet they do not change the lives of their constituents. Or does his reform centre around non-material reforms like religious reforms or ideological reforms
 
Hate for Raila really makes people lazy in doing their homework.

This article you have put up here is an old piece of propaganda against the Prime Minister ambayo wengi
wetu tumezoea. Talking about Kibera and the constituents therein just exposes your naivete in matters
Kenya. For your information UN Habitat has been upgrading those slums over a long period now. Get
with the news:

Kibera_1.jpg

Kenya Slum Upgrading Project (KENSUP)

Lete nyengine!

Kuhusu Kazi Kwa Vijana, tell me what the Kenya Government did to investigate the matter? Please table evidence
that links the PM to the aforementioned corruption. Hii biashara ya kusema mambo bila ushahidi is just rumor mongering
and we shall live at that!

[h=2][/h]
 
The money vanished while in custody of the office of the PM. Even though he might have transfered to other offices to avoid blame. let those who handled and faciltated the money's dissapreance come clean.
 
Nimekuomba utapatie ripoti kutokana na uchunguzi uliofanyika kisha tuijadili. Otherwise tunapiga hadithi za kijiweni
hapa.

Im gonna tell you for the umpteenth time, this is an old article that has been debunked before and its like
beating a dead horse!
 
Well said kaka.

In fact these cheap propaganda against Raila zinawafanya watu walichukie kabila moja tu lililojifanyia mtawala wakudumu/wamaisha wa Wakenya. Mimi siyo Mkenya, Ni Mtanzania ila nimewahi kusikia kuwa Familia ya Kenyatta ni matajiri wakutupwa na ndio wenye haki kubwa sana ya kumiliki ardhi kwa ukubwa zaidi pengine kuliko hata Odinga, mbona hayajasemwa haya?

Ni nani Afrika aliyeshindwa kujitajirisha alipoiingia madarakani mpaka mumuone Odinga kazidi? Hivi majuzi wakati naangalia Citizen TV nikamuona mtoto wa Mzee Moi akisema akamsaidia Musalia Mudavadi kwa hali ya mali anapogombea urais. Hizo mali zakumbebea Musalia yeye kazipata wapi kama siyo alizojikusanyia baba yake alipokuwa mpangaji wa ikulu?

Tuwe wakweli jamani,ni mwanasiasa au kiongozi gani Kenya ambaye si mfanyabiashara au hajatumia nafasi au cheo chake kujinafaisha na kutajirika?

Hii ni kwa wanasiasa /viongozi wote duniani wote hukimbilia siasa si kwa lengo la kuwasaidia watu wao kwanza bali kujisaidia wao kwanza Hebu angalia pia viongozi wa Tanzania,Uganda,Msumbiji South Africa.Hata Kibaki mwenyewe kajinufaisha,angalia hilo hekalu lake la kustaafu huko Aberden,angalia MuDVD na Anglo leasing,Uhuru na kukosea hesabu za budget,Mr Maize (Ruto)kila siku na kesi za ardhi,Mzee Moi,Mzee Kenyata na familia yake....orodha ni ndefu!

Msiwe na ugonjwa wa kumchukia Raila tu sababu si Mkikuyu na sababu baba yake alimpinga Kenyata. Lakini kumbekeni kuwa Mzee Odinga alikataa cheo cha kupewa Uwaziri Mkuu aliposema hakubali mpaka Kenyata atoke kifungoni. Sasa nyie wajukuu acheni kuchukia Raila sababu ni mtoto wa Odinga
 
Tuwe wakweli jamani,ni mwanasiasa au kiongozi gani Kenya ambaye si mfanyabiashara au hajatumia nafasi au cheo chake kujinafaisha na kutajirika?

Hii ni kwa wanasiasa /viongozi wote duniani wote hukimbilia siasa si kwa lengo la kuwasaidia watu wao kwanza bali kujisaidia wao kwanza Hebu angalia pia viongozi wa Tanzania,Uganda,Msumbiji South Africa.Hata Kibaki mwenyewe kajinufaisha,angalia hilo hekalu lake la kustaafu huko Aberden,angalia MuDVD na Anglo leasing,Uhuru na kukosea hesabu za budget,Mr Maize (Ruto)kila siku na kesi za ardhi,Mzee Moi,Mzee Kenyata na familia yake....orodha ni ndefu!

Msiwe na ugonjwa wa kumchukia Raila tu sababu si Mkikuyu na sababu baba yake alimpinga Kenyata. Lakini kumbekeni kuwa Mzee Odinga alikataa cheo cha kupewa Uwaziri Mkuu aliposema hakubali mpaka Kenyata atoke kifungoni. Sasa nyie wajukuu acheni kuchukia Raila sababu ni mtoto wa Odinga

Well said mkuu "Ugonjwa wa kumchukia Raila" mzee wangu alikuwa anafahamiana sana na Mzee Odinga baada ya kuishi wote huko Ulaya kwenye miaka ya 1954, ninazo picha walizo piga pamoja wakiwa huko. Kwa kifupi mzee Odinga alikuwa mfanyabiashara mahili sana na alikuwa amekwisha kuwa tajili tangia miaka ya mid 1950s, mpaka kufikia miaka ya 1960s kabla hajakorofishana na Kenyatta familia ya mzee Odinga ilikuwa na utajiri mkubwa nchini Kenya, walimilki kampuni kadhaa; nakumbuka baba aliwahi kuniadithia kwamba kuna wakati utajiri wa mzee Odinga ulikuwa anakaribia wa Serikali ya Kenya (sina hakika kama alikuwa anatania au la!) - sasa hili la kumzulia Raila kwamba ni mtu hatari/mwizi na mpenda rushwa inatokana na kitu gani zaidi ya chuki tu binafsi, Raila hakuzaliwa kwenye ukame wa fedha/njaa mtu kama huyo anaweza kuwa limbukeni kweli katika mambo ya FEDHA!!!

Nimeona mara nyingi humu kuna baadhi ya watu wamepania kumzulia Raila kashifa chungu mzima zisizo kuwa na kichwa wala miguu, kama tungekuwa kwenye enzi za vita baridi (cold war) kati ya nchi za magharibi na mashariki kuna watu wagesema kwamba kwa kuwa Raila kasoma Ujerumani ya Mashariki (East Germany) basi ni agent wa STAZZI au KGB-watabuni chochote cha kumpaka matope hoping yata-stick!

Wakati mwingine najiuliza maswali mengi kutokana na ndugu zetu wa Kenya wanavyo jibizana jibizana humu, yaani mtu unaona wazi wazi kwamba chuki nyingine are too pathological - hivi Raila akishinda kwa mfano, je watu wanao mchukia watahama nchini mwao na kwenda kuishi uhamishoni au watatafuta mbinu zilizo tumika kwa (Ouko na Tom Mboya - God forbid).

Mkuu tisijidanganye hapa, kama waliwahi kulazimisha kumwapisha Kibaki usiku totoro i.e when it was dark like an inside of a pocket! Hawakujali kufata itifaki za kuhapisha Raisi wa nchi, dunia ina uhakika gani kama umafia huu hawezi kurudia tena ili kumnyima Urais mtu aliye chaguliwa kihalali na wananchi - Mimi katika maisha yangu sijawahi kusikia mambo ya ajabu kama hayo, Raisi mzima anafungiwa kwenye closet kula kiapo! Nakumbuka Rais Johnson wa Merikani tu ndie aliwahi kula kiapo akiwa ndani ya ndege kurudi Washington, D.C. na hii ilitokana na Rais Kennedy kuuwawa Dallas Texas kwa hiyo ikalazimu makamu wake kuchukua nafasi yake fasta.

Nimalizie kwa kuwasihi ndugu zetu wa Kenya wasirudie tena kulazimisha mambo ya kushinikiza Rais ambaye hakuchaguliwa na majority, msikubali wasimamizi wa kura watumie ujaja wa robot zilizo fichwa kwenye search engines za software za Mama Lucy Ndung'u ziwachagulie RAIS wenu. Nilisema hili kwa nia njema tu - CHEERS.
 
It is important that fairness and balance be excercised especially when referencing to presidential candidates. why keep on mentioning and vilifying Uhuru with his wealth, some inherited, as Raila inherited an ethanol processing factory from his father Odinga and oil money from libyan oil barons, let us not get deep into controversy. But a word of advice if it is professional and routine for other to attack uhuru with his wealth let others like Raila and mdvd be evaluated as well with the same method of evalution.

Do not try to validate your excesses in accusations and insinuations against uhuru though he is demonised and complain when people talk of how Raila acquired his billions. I will not vote for Uhuru but these insinuations have become hypocritical. They concurrently embezzle state funds as they preach reforms.
 
Well said mkuu "Ugonjwa wa kumchukia Raila" mzee wangu alikuwa anafahamiana sana na Mzee Odinga baada ya kuishi wote huko Ulaya kwenye miaka ya 1954, ninazo picha walizo piga pamoja wakiwa huko. Kwa kifupi mzee Odinga alikuwa mfanyabiashara mahili sana na alikuwa amekwisha kuwa tajili tangia miaka ya mid 1950s, mpaka kufikia miaka ya 1960s kabla hajakorofishana na Kenyatta familia ya mzee Odinga ilikuwa na utajiri mkubwa nchini Kenya, walimilki kampuni kadhaa; nakumbuka baba aliwahi kuniadithia kwamba kuna wakati utajiri wa mzee Odinga ulikuwa anakaribia wa Serikali ya Kenya (sina hakika kama alikuwa anatania au la!) - sasa hili la kumzulia Raila kwamba ni mtu hatari/mwizi na mpenda rushwa inatokana na kitu gani zaidi ya chuki tu binafsi, Raila hakuzaliwa kwenye ukame wa fedha/njaa mtu kama huyo anaweza kuwa limbukeni kweli katika mambo ya FEDHA!!!

Nimeona mara nyingi humu kuna baadhi ya watu wamepania kumzulia Raila kashifa chungu mzima zisizo kuwa na kichwa wala miguu, kama tungekuwa kwenye enzi za vita baridi (cold war) kati ya nchi za magharibi na mashariki kuna watu wagesema kwamba kwa kuwa Raila kasoma Ujerumani ya Mashariki (East Germany) basi ni agent wa STAZZI au KGB-watabuni chochote cha kumpaka matope hoping yata-stick!

Wakati mwingine najiuliza maswali mengi kutokana na ndugu zetu wa Kenya wanavyo jibizana jibizana humu, yaani mtu unaona wazi wazi kwamba chuki nyingine are too pathological - hivi Raila akishinda kwa mfano, je watu wanao mchukia watahama nchini mwao na kwenda kuishi uhamishoni au watatafuta mbinu zilizo tumika kwa (Ouko na Tom Mboya - God forbid).

Mkuu tisijidanganye hapa, kama waliwahi kulazimisha kumwapisha Kibaki usiku totoro i.e when it was dark like an inside of a pocket! Hawakujali kufata itifaki za kuhapisha Raisi wa nchi, dunia ina uhakika gani kama umafia huu hawezi kurudia tena ili kumnyima Urais mtu aliye chaguliwa kihalali na wananchi - Mimi katika maisha yangu sijawahi kusikia mambo ya ajabu kama hayo, Raisi mzima anafungiwa kwenye closet kula kiapo! Nakumbuka Rais Johnson wa Merikani tu ndie aliwahi kula kiapo akiwa ndani ya ndege kurudi Washington, D.C. na hii ilitokana na Rais Kennedy kuuwawa Dallas Texas kwa hiyo ikalazimu makamu wake kuchukua nafasi yake fasta.

Nimalizie kwa kuwasihi ndugu zetu wa Kenya wasirudie tena kulazimisha mambo ya kushinikiza Rais ambaye hakuchaguliwa na majority, msikubali wasimamizi wa kura watumie ujaja wa robot zilizo fichwa kwenye search engines za software za Mama Lucy Ndung'u ziwachagulie RAIS wenu. Nilisema hili kwa nia njema tu - CHEERS.

Ni kweli Mzee Odinga alikuwa ni tajiri kabla hata ya Kenya kupata uhuru na alikuwa kati ya waafrika matajiri katika huu ukanda wa Afrika Mashariki katika miaka hiyo ya mkoloni,kuna wakati alikisiwa kuwa ndio tajiri mkubwa kuliko wote huko Kenya hadi kukawa na usemi wa majigambo kwa matajiri wetu huku mitaani wakijiita wao ndio akina Odinga wa Tanzania,hata baba yangu alikuwa anaisimulia habari za Odinga na unajua hapo zamani mtu kama Odinga alikuwa ni mtu maarufu sana na walikuwa wanakuja hata huku Tanganyika wakiwa kama watu wa kawaida tu,Odinga alikuwa tajiri mkubwa wakati huo Kenyata hana kitu na hakupata kwa kuwa mwanasiasa,ila Kenyata ndio akaja kuwa tajiri mkubwa baada ya kuukwaa uongozi wa taifa la Kenya,na utajiri wenyewe ni wa dhuruma na rushwa na ndio kisa cha watoto wa akina Kenyata na Moi wanafanya juu chini kuhakikisha wanakuwa na kauli mbele ya watu watakao kuwa watawala,jambo ambalo hawaliwezi kwa RAO
 
Bukyanagandi,

japo binadamu anaweza waza tendo kwenye fikila zake kueneza tendo fulani, ni sawa na kutenda kitendo. mwanadamu awe yeyoye when they concieve in their minds about conducting anything towards a particular group, it is the same as commiting the action. Mkuu I know i need not explain much to you since you have history at your finger tips.

Kumbuka pre-cursor ya rwandan genocide, those guilty hutus who continually chanted tutsi as cockroaches bila kuzuiwa, mwisho wa yote walitenda kitendo cha kimbari. Nikurejeshe pia enzi za hitler ambapo alieneza chuki zake dhidi ya wayahudi. Historia inasema alikuwa ameweka chuki dhidi ya wayahudi kutoka ujana wake, na kuiendeleza kama filosophia katika uongozi wake wa Nazi party mwaka wa 1924. kilichofuatia baada yake tunajua ni wahayudi millioni sita walichinjwa.

Nakumbukua mkuu vizuri nikikusimulia kuhusu psychosis ya wanadamu. kumbuka raila awe kiongozi wa kenya ajaye maisha itaendelea kama kawaida. jambo halizungumziwi mara kwa mara ni njia za uongozi za raila zimejipata kwenye tetesi za ukabila udini nk.

utasaini mikataba na waisilamu tu kwa minajili tu ya kupata kura bila hata kuzingatia kilicho kwenye stakabathi za MOU?! is like signing a death pledge na shetani bila kuzingatia mathara yake. kiongozi yeyote ambaye anaweka raia katika first priority huzingatia mambo haya kabla ya kuingia kwenye mikataba kupata kura au umaarufu. but a self seeker will not think of the implications maana they are a self seeker. The fact that kenya has more christians than muslim does not make kenya a christian state. kenya is ruled by a secular president, a secular judiciary, a secular legislative assembly, and a secular executive. ndio kama wao Alsabaab walikuwa wanasema "christian kenya" such utterances resonate well na lile tukio la biafra za religious tensions.

......
 
Kaka Kabaridi,nakumbuka siku ile ya kumpitisha Uhuru kuwa kinara wa Jubilee Sonko alikuwa anataja wizara zinazoongozwa na watu wa ODM kama kuwa ndio hazifanyi kazi,je ni kwali hazifanyi kazi na ni za watu wa Jubilee tu ndo zinafanya kazi?au ndio siasa sasa mbona mauaji huko Tana yanatokea kila siku je ni wakati wa kulaumu Jubilee kwa waziri anayehusika ni wa huko au.Unajua wanadamu wanasema usimtabirie kifo mwenzako kesho inaweza kutokea kwako,sasa haya mambo ya Tana Delta tulaumu nani?ndio maana kila siku nadai serkali ni timu moja na mazuri au machafu ni ya wote,haya sasa mlaumini Kibaki na si RAO kwa kukosekana usalama .
 
ushaidi kuhusu hayo mashamba na ni wapi in terms of arcerage ni usiku wa giza. Ikiwa hayo mashamba hawawezi kutambuliwa itabaki porojo za siasa.
 
Kaka Kabaridi,nakumbuka siku ile ya kumpitisha Uhuru kuwa kinara wa Jubilee Sonko alikuwa anataja wizara zinazoongozwa na watu wa ODM kama kuwa ndio hazifanyi kazi,je ni kwali hazifanyi kazi na ni za watu wa Jubilee tu ndo zinafanya kazi?au ndio siasa sasa mbona mauaji huko Tana yanatokea kila siku je ni wakati wa kulaumu Jubilee kwa waziri anayehusika ni wa huko au.Unajua wanadamu wanasema usimtabirie kifo mwenzako kesho inaweza kutokea kwako,sasa haya mambo ya Tana Delta tulaumu nani?ndio maana kila siku nadai serkali ni timu moja na mazuri au machafu ni ya wote,haya sasa mlaumini Kibaki na si RAO kwa kukosekana usalama .

Hiyo ofisi ya PM inajulikana sama kwa ufisadi. ukisoma kitabu cha muguna ndio utaelewa kuwa kuna watu alikuwa wamepewa kibali ya kuhakikisha na kupangia njama wachapa kazi kwenye ofisi wakati mgumu kufanya kazi yao. Miguna mwenyewe alikataa kushiriki katika ufisadi yao na ndipo wakamnyima haki zake.

Kwenye ofisi hiyo hiyo ile sakata inayosikika zaidi ni ile ya mahindi ambao ruto alituhumiwa. ile ya KKV haieleweki na Raila mwenyewe hakueleza pesa zilienda wapi
 
Back
Top Bottom