Raila achangisha pesa za kampeni na kwenda kuzila bata LONDON

Raila achangisha pesa za kampeni na kwenda kuzila bata LONDON

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,440
Reaction score
8,149
Jaman ndo kusema Raila Odinga kawa tapeli kiasi hiki! aliomba kuchangiwa pesa ya kampeni wakati hata kampen zenyewe hafanyi, mbaya zaidi anataka kusepa UK wakati hata pesa hajarudisha!. arudishe pesa bana ndo afanye yake
 
Pambana na khali yako[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji6][emoji6]
 
Ndio uzuri wa kuchangisha hela kutoka mazuzu afu jamaa akishapokea mpunga anaanza kuwatia moyo wachangiaji kwa kuwaita makamanda/wanaharakati/mashujaa/wazalendo..
 
Jaman ndo kusema Raila Odinga kawa tapeli kiasi hiki! aliomba kuchangiwa pesa ya kampeni wakati hata kampen zenyewe hafanyi, mbaya zaidi anataka kusepa UK wakati hata pesa hajarudisha!. arudishe pesa bana ndo afanye yake
Raila sio maskini kama wewe
 
Anajua hashindi, anachukua vyake mapema...
 
muulize yeye raila kwanini hatosheki na bata, mbaya zaid kwa kutumia fedha zetu tulizompa kwa ajili ya kampeni
Weka ushahidi kama ulichanga au ulimis tu kumtaja jina la bwanaako huyo kuwa makini dogo
 
muulize yeye raila kwanini hatosheki na bata, mbaya zaid kwa kutumia fedha zetu tulizompa kwa ajili ya kampeni

POLE YA WALIOMPA AKIWAMO KIRANJA NASIKI KAMTUMIA CASH 5 MILLION DOLLARS ALIPELEKA NDK.....KIJANA WAKE KWA NJIA ZA PANYA ....[LAKINI ASIRUDI TENA MAANA JUBILEE WALISHTUKA KASHARUDI]...ULE WA AWAMU YA KWANZA...SIJUI KAMA SAFARI HII KAWEZA KUPENYESHA ...HUENDA RAILA ANAENDA LONDON KUCHUKUA PESA MAANA JAMAA WAMETIGHT SANA KUINGIZA PESA
KAMZIDISHIA KIDOGO MAANA YEYE ALILETAGA 3 MILLION USD
 
Back
Top Bottom