Sisi ambao tulimuona Raila kwa rangi zake zote mapema sana tukamkataa walituambia tuna ukabila. Sasa muone. Huyu jamaa anafaa kutupiliwa mbali kabisa kwenye siasa za Kenya. Shukran kwa wakenya wote ambao walihakikisha ikulu anaiona kwa ndoto tu. Walijaribu kutuhadaa kwa densi za Ohangla na Raila tibim na sijui tialala. Very useless!Huyu babu hata mashabiki wake wameanza kumchoka, ameshindwa kuamua kimoja, kila siku anawazungusha zungusha hawajui ataibuka na lipi. Yaani hapa tuliponea, maana nchi ingeongozwa kwa matamko yasiyotabirika, leo rais anaibuka na hiki kesho anageuza kibao, hatabiriki. Kiongozi wa kihivyo ni hatari hata kwa wawekezaji.
Yaani rais akipewa kipaza sauti inabidi wananchi wote kimya na kuingiwa na hofu maana hawajui leo atasema lipi, hajulikani huwa amesimamia nini
Huyu babu hata mashabiki wake wameanza kumchoka, ameshindwa kuamua kimoja, kila siku anawazungusha zungusha hawajui ataibuka na lipi. Yaani hapa tuliponea, maana nchi ingeongozwa kwa matamko yasiyotabirika, leo rais anaibuka na hiki kesho anageuza kibao, hatabiriki. Kiongozi wa kihivyo ni hatari hata kwa wawekezaji.
Yaani rais akipewa kipaza sauti inabidi wananchi wote kimya na kuingiwa na hofu maana hawajui leo atasema lipi, hajulikani huwa amesimamia nini au wapi.