Raila Admitted To Coast Gen Hospital For Food Poisoning

This might earn him some mileage in votes lakini anyway tukutane kwa debe. But both side must be prepared to concede if defeated otherwise tutaishia kutwangana.


Hii kali. Is a short bout of diarrhea really enuff to earn u ssome sympathy votes? Lol!
Nice try.
 
Duuh hatari

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni habari inayoendelea sasa huko Kenya. Anasadikiwa amelishwa sumu kwa chakula.

Taarifa naendelea kuzitafuta kwenye media zingine.


--------------------------------------------------------------------
--------------------------------------------------------------------
Updates:
Nasa leader Raila Odinga has been admitted at Mombasa Hospital after addressing rallies in Kilifi County, spokesperson Dennis Onyango has confirmed.

Mr Onyango, on his Facebook page, said that "we suspect food poisoning".

Dr Vinesh Vageheli has said Mr Odinga is in stable condition but they will continue to monitor his health.

Nasa co-principal Kalonzo Musyoka, and other members, addresses journalists on July 9, 2017 at Mombasa Hospital where Raila Odinga is admitted. PHOTO | WACHIRA MWANGI | NATION MEDIA GROUP

Additionally, Nasa leaders led by Mr Odinga's running mate Kalonzo Musyoka, have said that he is "in good health".

Mr Salim Lone, Mr Odinga's special advisor, also said the Nasa flag-bearer is responding well to treatment.

"Mr Odinga is feeling much better and the doctor just wants to observe him for the next one hour," he said.

Raila Odinga is in stable condition - Kalonzo says
 
Kitu sumu.watu wanawindana.mchezo wa siasa sitaki kuusikia.

Sent from my jamiiforumass using JamiiForums mobile app
 
Kenya kwenye siasa buana hawana huruma kabisa. Ikibidi bendi na mpiga bendi wafe wala sio shida
 
Reactions: SDG
Akipona aache kula kula hovyo sasa

family is any one who loves you unconditionally

 
Hapa ndo wakenya wanaelewekaga userious wao kwenye siasa

Fita ni fita mura

sisi kwetu peace sana watu wanakatana live later wanakutana wanagonga mvinyo
 
Aisee ,siasa ni vita waweza ua ndugu yako

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Hii kali. Is a short bout of diarrhea really enuff to earn u ssome sympathy votes? Lol!
Nice try.
Smh.... okay then....7:30 8/8/17 mtatii wote hapa ndani [emoji23]

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Duh...... Hiyo sasa hatari.....
Huu uchaguzi unaokuja usije ukaonfoka na mtu?
 
Kenya uchaguzi wao utakuwa na majanga sana msimu huu.

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Hizi ndo siasa halisi za Africa!!! upuuzi mtupu kwani hatuwezi kushindana kwa hoja mpaka mtu anatumia njia mbadala!!!!!!

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Daaah noma sana

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
These guys kill when it comes to power and opportunity to make money when in power
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…