Raila Admitted To Coast Gen Hospital For Food Poisoning

Hali yake ni nzuri na amesharuhusiwa na sasa yuko njiani kwenda Nairobi..wala hakuna wasiwasi wowote ,,RAO yuko safi na imara kabisa,,,msisahau huyu ni mzee wa miaka 73 sasa kampeni ile si mchezo ..
 
Huyu muongo anaona mambo yamemkaba anaanza visingizio..nani ampe sumu humu useless man...lipo lipo tu lina kazi ya kalalamika kila kitu halina sera zozote ....
 
Siasa ya Kenya ni mashaka matupu. Bado mtu kama Mimi ni ngumu kuthibitisha uhslisia wa hata hiyo wanayoita poisoning...siwezi kuchukua upande kwa siasa za Kenya.
Na vile wanatuonaga waTz ni ovyo soon watataka ukombozi wetu kuwaunganisha tena ktk post election violence
 
siasa za kenya ni kuangalia kwa umakini unapokanyaga kama unatembea kwenye eneo lenye mbigili
 
Uchaguzi utakua ngumu sana cz central Kenya /Kalenjin ambayo ndio hua ni karata ya ushindi imegawanyka Wiliam Ruto yupo na uhuru na Isaack Ruto yupo na Odinga...pia wakamba chini ya Kalonzo Musyoka plus wamasai wapo na Odinga so game ngumu sana ..ni kama Uhuru ameelemewa sana

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
 
Mtoto akijipiga halii "kiki on fleek"
 
Hii kali. Is a short bout of diarrhea really enuff to earn u ssome sympathy votes? Lol!
Nice try.

Bro majority of people out there won't bother to get their facts right, that it was reported as a minor stomach upset. Sasa hivi words going around ni Raila alishwa sumu, such a perfect timing after Nkaisery tragedy.
Photos of him lying there while undergoing treatment are being shared and spreading like wildfire. I remember Kibaki on wheelchair during 2002
 
Food poisoning sio sumu ya kuwekwa kwa chakula bali ni pale unapokula chakula kilicho na bacteria (kichafu) jamii ya clostridia, Acheni kuweka siasa kwenye afya za watu.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Wakikuyu huko waliko na
Wakalee wanasheherekea tu
Sasa ndo fraha yao
 
Jaluo inakula ovyo inaharisha inataka kusemaje food poison ya mabiriani na pilau pwani huko

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Anawe mikono kabla ya kula na ale sehemu safi
 
Wauane tu,wana ham ya kwenda UHOLANZI BURE

May Allah bless Me and You
 
Food poisoning sio sumu ya kuwekwa kwa chakula bali ni pale unapokula chakula kilicho na bacteria (kichafu) jamii ya clostridia, Acheni kuweka siasa kwenye afya za watu.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Food poisoning, also called foodborne illness, is illness caused by eating contaminated food. Infectious organisms — including bacteria, viruses and parasites — or their toxins are the most common causes of food poisoning.

Infectious organisms or their toxins can contaminate food at any point of processing or production. Contamination can also occur at home if food is incorrectly handled or cooked.

Food poisoning symptoms, which can start within hours of eating contaminated food, often include nausea, vomiting or diarrhea. Most often, food poisoning is mild and resolves without treatment. But some people need to go to the hospital.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…