Raila Admitted To Coast Gen Hospital For Food Poisoning

Food poisoning haimaanishi sumu inamaanisha magonjwa yatokanayo na kula chakula kichafu kama kuhara, kutapika, maumivu ya tumbo, n. K
 
We in nyang'ao sana. Hio in sukari kwa chakula ? au chakula imepata hitilafu.

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
get well soon comrade

Sent from my ZUK Z2131 using JamiiForums mobile app
 
Food poisonong is just a fancy way of saying BABA HAS DIARRHEA!
 
Mtu ambaye hajui kujilinda yeye mwenyewe asiwekewe sumu hafai kuwa rais.

Kama kashindwa kujilinda yeye mwenyewe, anakula ovyo mpaka anakula sumu, atawezaje kuilinda nchi?
Hajawekewa sumu, bali kala chakula chenye infection bacteria/fungi. Pia inaweza kuwa chakula kilikuwa na enterotoxin (sumu za bacteria huachwa baada ya yeye kufa) ambazo ni heat resistance.

Hii inaweza kuwanimesababishwa na chakula kutokuiva vizur, vyombo havikuwa visafi, mikono hakunawa vizuri.

Food poisoning ni tofauti na pale unapowekewa sumu kwenye chakula.

Sent from my MI 5s Plus using JamiiForums mobile app
 
Baba anaendesha Bajaj tena zile za Kivukoni
 
We baki kusoma waliyoandika wenzako pamoja na kizungu chako. Sisi tunafanya tafiti kuliko wewe mwenye dharau. Na tuna kudharau hivyohivyo.

Jionyeshe uko sawa na wenzako tutakuelewa tu!!!


 
Kikuyus don't wanna lose power in that country...walishasema, hawatatawaliwa na mtu mzima (govi) hata iweje. Raila (mjaluo na mtu mzima, go figure).
 

Thanks, this is well said and put, also thanks that you've put it clearly that your choice for Raila is based majorly on your personal preference since I was worried that I could be making a big mistake by not voting for him. The thing is, I always find him way too hypocritical, I see tribalism and dictatorial tendencies written all over him, he never even attempts to point a finger to his filthy and corrupt governors who are said to fund him. He even received Ngilu spectacularly when she was kicked out of government due to corruption, so in short and in 'my opinion', he not panacea to what's ailing our society today. Can't any better reason to switch over to his camp even though Jubilee is stinking to the core.

But we all have our opinions, so let's vote peacefully, whoever wins shall be our president, both of them are patriotic and mean well for our country. We should avoid shedding blood at all cost, am glad Uhuru has said over and again he is ready to concede defeat and walk away, but am worried about Raila who is so boisterous with all manners of accusations after accusations during his current campaigns.
 
Think they are political propaganda

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…