Poppy Hatonn JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 3,095 Reaction score 4,632 Mar 6, 2023 #1 Raila anawaambia Wakenya vitu vimepanda bei, (kama wanakubaliana naye) watu waandamane siku ya Jumatano. Kwanza Raila alitoa ultimatum kwa Rutto, ultimatum ya wiki mbili ambayo itaisha Jumatano.(Ultimatum hiyo bado sijajua inahusu nini).
Raila anawaambia Wakenya vitu vimepanda bei, (kama wanakubaliana naye) watu waandamane siku ya Jumatano. Kwanza Raila alitoa ultimatum kwa Rutto, ultimatum ya wiki mbili ambayo itaisha Jumatano.(Ultimatum hiyo bado sijajua inahusu nini).
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Mar 6, 2023 #2 Sasa mbona hawa nyang'au humu jukwaani wanadai eti liinchi lao limeendelea sana, hayo maandamano ya nini tena?
Sasa mbona hawa nyang'au humu jukwaani wanadai eti liinchi lao limeendelea sana, hayo maandamano ya nini tena?
mwathadan JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 3,136 Reaction score 4,271 Mar 6, 2023 #3 Magonjwa Mtambuka said: Sasa mbona hawa nyang'au humu jukwaani wanadai eti liinchi lao limeendelea sana, hayo maandamano ya nini tena? Click to expand... Maandamano ni mambo ya kawaida kwenye nchi zilizo na watu wenye akili na huru
Magonjwa Mtambuka said: Sasa mbona hawa nyang'au humu jukwaani wanadai eti liinchi lao limeendelea sana, hayo maandamano ya nini tena? Click to expand... Maandamano ni mambo ya kawaida kwenye nchi zilizo na watu wenye akili na huru
Holly Star JF-Expert Member Joined Aug 25, 2018 Posts 4,327 Reaction score 8,142 Mar 6, 2023 #4 Maandamano ndo yatashusha bei ya vitu?, Hivi mbona wstu wajinga kiasi hiki
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Mar 6, 2023 #5 mwathadan said: Maandamano ni mambo ya kawaida kwenye nchi zilizo na watu wenye akili na huru Click to expand... Nyie nyang’au mmechanganyikiwa.
mwathadan said: Maandamano ni mambo ya kawaida kwenye nchi zilizo na watu wenye akili na huru Click to expand... Nyie nyang’au mmechanganyikiwa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Mar 6, 2023 #6 duh aiseee
Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 25,874 Reaction score 36,030 Mar 8, 2023 #7 Bora hata huyo! Hawa wa huku kwetu wamekumbatia mabuyu ya asali tu