Raila Ajawahi kukubali matokeo Historia inaongea

bily

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
8,029
Reaction score
5,796
Msije mkamove hii thread wakuu moderators. Jamaa mheshimiwa Sana Raila ajawahi kukubali matokeo . Naomba ieleweke hivyo kwahiyo tukijadili tufanye flash back kidogo.

[HASHTAG]#CongratsUHURUTO[/HASHTAG]
 
Msije mkamove hii thread wakuu moderators. Jamaa mheshimiwa Sana Raila ajawahi kukubali matokeo . Naomba ieleweke hivyo kwahiyo tukijadili tufanye flash back kidogo.

[HASHTAG]#CongratsUHURUTO[/HASHTAG]

Alinyang'anywa na Mwai Kibaki wazi wazi, wakati wa marehemu Kivuito aliyedai hata yeye hajui mshindi ila aliambiwa amtangaze Kibaki! Kwa kifupi omba tukwambie mengi maana unaoneka unataka uonekane umeanzisha uzi but huna lolote!!!!
 
Raila ni mbishi ajabu yaani wakati hata hajapata asilimia 25 zinazohitajika angalau kwenye county 24 ambazo ni lazima atimize ili awe raisi yeye bado anang'ang'ania ni mshindi...
 
Sahihisho Raila ametimiza asilimia 25 katika kaunti 29...hivyo kutimiza matakwa ya katiba
 
Raila hali yake ikoje kwa sasa?
 
Nilikuwa namkubali sana Odinga miaka kumi iliyopita, ila nadhani aliblanda sana kukubali kuingia kwenye serikali ya mseto wakati akijua kuwa alikuwa kaibiwa kura, kwa hiyo ikaoenaka kama hakuwa na msimamo bali madaraka. Watu wa namna hiyo ni pamoja na Maalim Seif Hamad wa Zanzibar na Tsvangirai wa Zimbabwe. Matokeo yake, wakadhoofishwa kisiasa kwa kuwamo serikalini kiasi kuwa chaguzi zilzofuatwa wakawa hawawezi kujipambanua dhidi ya watawala tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…