MCHONGANISHI
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 372
- 364
Mimi sio Mkenya ila ningeomba ni-comment hapo kwenye red: Rais Uhuru, then Ruto PM? sipati picha.Mi ningependa nimuone Uhuru akiwa next Kenyan president na Ruto PM ili kuwaenzi freedom fighters, hivi Luo walishiriki MAUMAU kweli? If no hata uprime minister hawakudeserve
MCHONGANISHIKatiba ya Kenya inasemaje kuhusu kura za urais je mshindi ni mshindi au wanaconsider percentage? Kama ni kwa percent na hili la wagombea wengi NAFKIRI wataenda duru ya pili na itakuwa Kalonzo vs Odinga na ndo hapo Raila atapigwa chini though Ruto na Uhuru issue Yao ya ICC itawabana kugombea...
Mi ningependa nimuone Uhuru akiwa next Kenyan president na Ruto PM ili kuwaenzi freedom fighters, hivi Luo walishiriki MAUMAU kweli? If no hata uprime minister hawakudeserve
Mimi sio Mkenya ila ningeomba ni-comment hapo kwenye red: Rais Uhuru, then Ruto PM? sipati picha.
livefire,MCHONGANISHI
Kkushinda ni kwa wingi wa kura, asilimia 51 lasivyo mkondo wa upili unaingia. Pia kuna idadi flani za county Rais anahitaji kuwa na ushindi pia...am not a political fan but am giving the general feed of the situation and mood in Kenya.
Kalonzo was fried a long time ago, no Kenyan speaks of him now. It will be the 'alliance' vs raila...check my readership youl understand the intended onslaught planned for Raila. If these separate factions agree to form an alliance, then there will be no 2nd round. If you saw the Muliro garden campaign by Musalia and Ruto you will understand better. The massess were chilling to the spine and in numbers they came. After Musalias defection ODMs rating have been on a steady southward trend. Btw PM position is in this govt only and not the next.
Oluoch welcome to JF, new face i must admit.
My last 2cents on politics and this matter altogether.
Kwa nini hupati picha mkuu? M NAFKIRI Hao ni among African Youth leaders ambao continent letu linawahitaji wanaweza wakawa na mbinu mpya hawa wengine nawaona walewale no wonder AU is a dead organization a.k.a Joka la Kibisa
MCHONGANISHI,And who do you prefer astand kwa side ya alliance? Naona ka Mudavadi is not man enough for the job... Na Raila presidential posts is too high for him anapapara saana! Na ni mkurupukaji big time
Mkuu MCHONGANISHI,Katiba ya Kenya inasemaje kuhusu kura za urais je mshindi ni mshindi au wanaconsider percentage? Kama ni kwa percent na hili la wagombea wengi NAFKIRI wataenda duru ya pili na itakuwa Kalonzo vs Odinga na ndo hapo Raila atapigwa chini though Ruto na Uhuru issue Yao ya ICC itawabana kugombea...
Mi ningependa nimuone Uhuru akiwa next Kenyan president na Ruto PM ili kuwaenzi freedom fighters, hivi Luo walishiriki MAUMAU kweli? If no hata uprime minister hawakudeserve
Mh!it is true,muungano huu ni hatari sana kwa majahaliwa ya Odinga kuwa rais wa kenya!Beware of the unholy alliance Mudavadi-Ruto-Uhuru a clear and present threat to Raila triumph.
'tukutane kwa tepee', kidding. .
Uwiiiii Moddy Awori is a tikteta! (dictator) , not to mention Kiraitu's siasa ya mbass(bus) absolutely hilarious.
Wakenya hawako tayari kutawaliwa na Jaluo "Mtu mzima"
MCHONGANISHI,Katiba ya Kenya inasemaje kuhusu kura za urais je mshindi ni mshindi au wanaconsider percentage? Kama ni kwa percent na hili la wagombea wengi NAFKIRI wataenda duru ya pili na itakuwa Kalonzo vs Odinga na ndo hapo Raila atapigwa chini though Ruto na Uhuru issue Yao ya ICC itawabana kugombea...
Mi ningependa nimuone Uhuru akiwa next Kenyan president na Ruto PM ili kuwaenzi freedom fighters, hivi Luo walishiriki MAUMAU kweli? If no hata uprime minister hawakudeserve
Raila is the kind of person who has no stand. He goes with what is trending among the public.
Just look at the MRC issue. One day he's saying they won't talk with MRC, that MRC is illegal but when he goes to Mombasa he changes his stance!? Hata MRC wenyewe walimkashify kwa hayo. Simply put ni kigeugeu.
kajunju,MCHONGANISHI,
Acha kuendekeza ufalme kwamba baba zao walipigania uhuru, ambao baba zao walikuwa maskini au mtoto kazaliwa hamjuia baba apashwi kuwa kiongozi. Kwa taarifa yako kama kigezo kwako ni aliyepgania uhuru, basi babake Raila mzee Jaramogi Odinga alikuwa mmojawapo.
Yawezekana freedom fighter kwako ni had mtu afie vitani. Kwenye mapambano kuna mbinu nyingi sio ubebe mikuki uende front line. Mfano wakati Museven anapigana kuingia madarakani, kanal Besigye alikuwa dr wa kutibu Museveni na majeruhi kuna wengine walikuwa waandishi wa habari. Tofauti na unafiki kama inavyotokea hapa tz... Raila deserve to be a Kenyan presida
Crucial Man,A salaam wakuu,
Nimekuwa nikifuatilia kwa mbali siasa za majirani zetu kenya.nimetokea kuvutiwa na huyu waziri mkuu odinga.huyu jamaa anaonekana reformist kwa jinsi anavyo endesha siasa zake.
Kinachonipa wasiwasi ni jinsi huyu mh Odinga anavyopigwa fitina na wanasiasa wa Kenya. Watu wako tayari waungane ili mradi Odinga asitawale. Hivi ni kwanini? Je, Odinga ni dictator kama wanavyodai wapinzani wake?
Kwa maesabu ya haraka haraka naona kama vile Mr. Odinga ana kibarua kigumu kushinda uchaguzi ujao, lakini bado nina imani kwamba he is the best rais mtarajiwa.