Namkumbuka Jaramogi Odinga Oginga (RIP), mwanasiasa mkongwe aliyemfanya D.T.Arap Moi akomae kisiasa kwa usumbufu wake wa kutaka maendeleo endelevu bila kuwa na "excuses"....Aliwahi kumfuata Moi uwanja wa mpira na kumwambia Mr President huu si wakati wa kula starehe uwanjani, ulipaswa kuwa ofisini kwani una "appointment" na watu na wanakusubiri, kumbe alikuwa anamtania tu, Ingawa akina Obuya, Odinga, Obama na wengineo hawana utani na Wakalenjin. Moi aliondoka na alipofika ofisini kulikuwa na shughuli za kawaida tu, na wal hapakuwa na mtu anayemsubiri....Off course hakuwa na kumbukumbu kama alikuwa na appointment ama la!!😛arty:
Hivyo Sishangai Odinga J. Oginga akiwa CIC (Commander-In-Chief) wa Kenya.